Black Opal

Senior Member
Jan 22, 2023
199
253
Screenshot 2023-04-04 083340.png

Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki.

Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na muonekano ule wa unga wa ngano.

Je, kuna njia nyingine ya kukaanga samaki au nyama bila kurukiwa mafuta? Wewe unatumia njia gani?

Naombeni ujuzi wenu wadau.
 
kwani kikaango kizima kinabiduka kukumwagia mafuta mkuu?? hivo vichembe chembe mbona kawaida ukikaanga ngisi s ndio utakimbia jiko?? kwa ngisi kaaanga bila kuachia mkono kwa mda yan unageuza geuza ila kwa samaki wa kawaida utawatoa nyama ukiweka upande uliopo kwenye kikaango chamafuta usimgeuze had uone maji yamekauka yamebaki mafuta ukimgeuza ananyanyuka mzima inasaidia nauhakikishe mafuta yamepata moto kingine ni yale macho ya samaki yakitoka pia husababisha mafuta kuruka
 
Katika vitu vinavyofanya usile nyama na samaki ni umaskini ulio nao usisingizie mafuta ingekua hivyo pale sokoni ferry watu wangekua hawana ngozi
 
Acha makasiriko mkuu...kama una mbinu ya kufanya mafuta yasiruke lete maujuzi hayo
 
kwani kikaango kizima kinabiduka kukumwagia mafuta mkuu?? hivo vichembe chembe mbona kawaida ukikaanga ngisi s ndio utakimbia jiko?? kwa ngisi kaaanga bila kuachia mkono kwa mda yan unageuza geuza ila kwa samaki wa kawaida utawatoa nyama ukiweka upande uliopo kwenye kikaango chamafuta usimgeuze had uone maji yamekauka yamebaki mafuta ukimgeuza ananyanyuka mzima inasaidia nauhakikishe mafuta yamepata moto kingine ni yale macho ya samaki yakitoka pia husababisha mafuta kuruka
shukran mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom