mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

    Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi. Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi...
  4. MGUBA

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je hali ya Upatikanaji wa mafuta Zanzibar Ikoje?

    Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano. Natanguliza Shukrani.
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mafuta nchini - Serikali ilaumiwe?

    SALAAM! Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi. Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe? Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

    Wasalaam JF, Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

    Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

    Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337. TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

    Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18. --- Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile Mamlaka ya udhibiti wa...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Hali ya mafuta ikoje huko uliko?

    Nipo Katoro mkoani Geita. Kwa zaidi ya siku moja, kuna baadhi ya sheli zimesitisha huduma. Hawana mafuta. Hiyo ndiyo hali niliyoishuhudia katika baadhi ya maeneo niliyopita katika huu Mkoa tajiri wa dhahabu. Hali ikoje kwingineko, hasa mliopo mijini DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA na DODOMA?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

    Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika. Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
  20. D2050

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

    Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa. Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye...
Back
Top Bottom