Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
589
765
Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma.

Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee zake.

Siye tunataka ushindi tu hadi Yanga wakome.
 
Mtu wao aka mropokaji ana hadithi ya moshi huko sijui huo moshi ndio uliondoka na maarifa yake
 
Screenshot_20210807-013217.png
 
Back
Top Bottom