maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  2. Maendeleo ya vitu yaliyojengwa kwenye madeni

    Ukiangalia hoja za wanaccm kuhusu mgombea wao,ukiangalia kile kinachoitwa maendeleo yaliyoletwa na Magu,ukiangalia quality ya Magu vs Lissu au Magu Vs Lowassa 2015 au Slaa vs JK 2010 na matokeo ya uchaguzi yalivyokuwa unapata majibu kabisa kwamba why Tanzania na watanzania ni masikini sana...
  3. GE2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

    Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box MBEZI BEACH Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo hayo yamepangwa vizuri na hata ujenzi wa nyumba zake kidogo ni za hadhi ya juu. Katika pita pita...
  4. GE2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  5. Maendeleo huja kwa kodi au deni atalolipa mtanzania. Je ni sawa CCM kujinadi inaleta mendeleo?

    Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi. Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao. Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni...
  6. Rais Magufuli na dhana ya "Maendeleo Hayana Vyama": Tafiti zinatueleza nini?

    Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za nchi. Lengo letu leo ni kudadisi kwa undani kupata ukweli juu ya suala hili. Ili kufikia lengo letu...
  7. GE2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

    Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania" Unapodharau miundombinu ya Bwawa la...
  8. Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

    Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara. Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka...
  9. Je, unadhani ni 'Maendeleo' gani hasa ya Kijamii na Kiuchumi Serikali ya sasa bado haijafanya na unadhani Serikali zingine inaweza Kufanya?

    Ukiniuliza Serikali ya sasa imefanikiwa vipi kwa Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii naweza kusema kwa 50% imefanikiwa kwa baadhi yake ila kwa 50% bado nina Deni nayo. Je, na Wewe kama Mdau na 'Great Thinker' unadhani ni 'Maendeleo' gani muhimu yamesahaulika katika Maeneo mbalimbali ya nchi ya...
  10. Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  11. Hotuba za Mgombea urais kupitia CHADEMA ni nzuri sana, haziwezi katu kurushwa live!

    Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi. Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu. Kila...
  12. N

    Tujengewe Chuo Kikuu mjini Singida kwa maendeleo ya mji

    Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa. Katika pesa hii...
  13. Q

    GE2020 Oktoba 2020, Tunachagua kati ya Utu wa Mtu na Maendeleo ya Vitu

    Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu. Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini vipaumbele vyao 'first priorities'. Wakati anachukua fomu ya NEC mgombea wa CCM Rais Magufuli...
  14. Maendeleo yetu Watanzania yalindwe na Katiba sio mtu

    Maendeleo yetu yanafanywa na kuletwa na kodi zetu sote, Sio hisani tunayalipia na tunawalipa watu woote wanaoyaleta, hivyo ni mali yetu sote. Namna bora ya kuyalinda na kuyaendeleza haya maendeleo yetu yanayopatikana kidogokogo lazima tuyaendeleze na kuyalinda katika kila awamu na kila chama...
  15. Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

  16. S

    Maendeleo yoyote ndani ya taifa siyo ya chama fulani, ni dira ya Taifa zima

    Tukiwa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa, vyama vya siasa vinajukumu kubwa la kuelezea utekelezaji wa dira ya taifa, utekelezaji wa diplomasia ya ndani ya nchi na diplomasia ya nje ya nchi ikiwa pamoja na diplomasia ya uchumi, pamoja na demokrasia ya taifa, nchi nyingi duniani zinasimamia...
  17. Maendeleo gani mapya mmepata kijijini/mtaani kwenu kati ya 2015 hadi leo 2020?

    1: Daraja lililokuwa hitaji kubwa kwa wananchi. 2: Kukamilishwa kwa Barabara ya lami. 3: Kupimiwa viwanja mtaa mzima na kupewa mawe (mchakato endelevu). 4: Ujenzi wa barabara mpya ya lami ambayo itafungua kabsa kijiji chote. 5: Ununuzi wa kiwanja cha shule mpya ya serikali. 6: Ufunguzi wa...
  18. Mwl. Julius Kambarage Nyerere: Maendeleo hayana budi yawe ni "maendeleo ya watu"

    Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na sio vitu, naomba.ujumbe huu umfikie mwingulu Maendeleo ni watu, siyo vitu NUKUU YA MOJA KWA MOJA...
  19. J

    Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

    Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati. Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
  20. Risala ya Dkt. Shein: Kifo cha Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo

    KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania. Rais wa Zanzibar na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…