matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,584
- 18,333
1: Daraja lililokuwa hitaji kubwa kwa wananchi.
2: Kukamilishwa kwa Barabara ya lami.
3: Kupimiwa viwanja mtaa mzima na kupewa mawe (mchakato endelevu).
4: Ujenzi wa barabara mpya ya lami ambayo itafungua kabsa kijiji chote.
5: Ununuzi wa kiwanja cha shule mpya ya serikali.
6: Ufunguzi wa Hospitali kwa ajili ya waze na matibabu ya emergency ( ni private).
7: Shule za awali za private kama nne hivi.
8: Soko jipya na tayari wananchi ndio kipaumbele ambalo bado liko kwenye pipe line.
9: ongezeko la route ya dadadala ambapo zamani tulikuwa tunatumia hadi 1200 kwenda kusaka fwedha jijini sasa ni 600 tu.
10: Ongezeko la makanisa na misikiti hivyo watu wengi kusilimu na kuokoka hivyo kupunguza uarifu.
11: Kwa mara ya kwanza awamu hii gari la polisi la patroo mara moja moja huonekana likipita mitaani kudumisha ulinzi na usalama.
12: Chili ya serikali ya mtaa watu wa fumigation hupita mtaani kwa ghalama ya 1000 hd 2000 kwa kuzuia maambukizi vyooni.
13: Kumekuwa na ongezeko la maduka, malls na supermarkets na flames nyingin za biashara.
14: Vituo vya mafuta viwili vikubwa na cha tatu kinakuja.
Haya ni machache tu niliyoyakumbuka kwa harakaharahaka.
Vipi huko mtaani/kijijini kwako nini kipya kimeongezeka kama ishara ya maendeleo kuanzia 2015 hadi 2020?