Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Ukiangalia hoja za wanaccm kuhusu mgombea wao,ukiangalia kile kinachoitwa maendeleo yaliyoletwa na Magu,ukiangalia quality ya Magu vs Lissu au Magu Vs Lowassa 2015 au Slaa vs JK 2010 na matokeo ya uchaguzi yalivyokuwa unapata majibu kabisa kwamba why Tanzania na watanzania ni masikini sana pamoja na kuzungukwa na resources za kila aina.
Yaani Kama mtu na akili zake timamu anashangilia daraja tu tena lililojengwa kwa pesa ya mkopo toka WB au reli inayojengwa kwa pesa ya mkopo wa riba kubwa badala ya kodi zinazolipwa na watanzania baada ya productivity yao kuongezeka unategemea nini hapo?
Ukiona mtu anashangilia reli inayojengwa kwa mkopo wakati yeye hana shughuli yoyote inayomuingizia kipato utashaangaa nini kuona nchi hii na watu wake wakiendelea kuwa masikini kwa muda mrefu?
Nadhani ni muda muafaka watanzania tupate definition sahihi ya maendeleo in our context other wise watu wa aina ya Magu wanaodhani maendeleo ni taa za barabarani na stendi za mabasi wataendelea kutuposha