maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

    Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi. Maendeleo hayana vyama!
  2. JamiiForums Tanzania 'Serikali ya Wanyonge' ndiyo adui namba moja wa maendeleo. Eti simu/video kupitia wavuti marufuku kupitia 'Bando'!

    Hata salamu sitoi.:( Leo nina hasira kupitiliza Ninaweza kumzaba kibao yeyete ambae naweza kukutana naye barabarani nikihisi tu kuwa kwa namna moja ama nyingine amehusika na 'Utopolo' huu, bila ya kujali yeye ni nani ama ana nini. Ni hivi; kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi hii ya leo...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii yaipongeza Serikali kwa kuwekeza miradi ya maendeleo iliyoboresha huduma tiba za kibingwa nchini

    Maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo (Ango-Suite) katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Maabara hii itaiwezesha taasisi kufanya upasuaji wa matatizo ya mishipa ya damu kichwani pasipo kulazimika kufungua fuvu la kichwa. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Shalom, Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu. Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Pongezi Wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii kwa kutumia basi la Shabiby kuja Mbeya, mmebana matumizi!

    Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby. Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama. Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna Wanahabari wanafakamia kila kinachosemwa na mabeberu ili kupinga maendeleo

    Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbasi amewataka wahariri na waandishi nchini kuenzi misingi ya weledi na uzalendo katika kazi zao ikiwemo kufanya utafiti kwanza kuliko "kufakamia" mawazo na maoni ya watu wasioitakia nchi mema. "Baadhi ya waandishi hawafanyi utafiti wala kutaka kujua mambo kwa kina...
  7. JamiiForums Tanzania Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

    Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo. Leo hii...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Elimu bure maigizo, Sekondari ya Maendeleo inawachangisha wazazi

    Salaam wakuu. Kuna wimbo mmoja unaimbwa sana juu ya elimu bure katika utawala wa awamu ya tano wa Magufuli. Kama ni kweli elimu hiyo inatolewa bure, basi kuna watumishi wanamuhujumu. Shule ya Sekondari Maendeleo, iliyopo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni inawatoza wazazi na kuwazuia wanafunzi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi wa Afrika kuwatumia Wananchi wao Masikini kama turufu yao Kisiasa Wakihutubia ndiyo Siasa bora, Uadilifu na Maendeleo?

    Na Kinachoniuma kama siyo Kunisikitisha hata hao Masikini wenyewe (ama kwa Kujua au Kutokujua) wakiwa wanatajwa katika Mikutano ya Hadhara ya Viongozi wa Kiafrika (Afrika) kuwa ni Masikini na Wasibughudhiwe hufurahia kweli kweli. Nijuavyo kwa Kiongozi mchapakazi, makini na anayejitambua kamwe...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya madaraja at the expense of people's sufferings

    This is what I can say I it is realized in JPM's regime. If Kikwete had not not released lots of employment to youths of Tanzania, so many bridges and infrastructures would have been constructed by him. But his first priority was people's welfare.
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa: Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Wenye ubunifu wanakosa kufanya maamuzi, michango yao inaishia chini

    Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni ======= Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa amesema: "Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Tuna Sheria ya Utumishi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kampeni za Valentine's Day katika media za Tanzania zina tija gani kwa maendeleo ya Watanzania?

    Wiki hii kila ukifungulia tu Redio yoyote cha Kwanza utakachokutana nacho ni mambo ya Mahaba hasa kuelekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day). Je, ina maana Media za Tanzania zinashindwa pia kwa Umoja wao huu huu (Media Agenda) basi wakawa Wanayasema yale ya Ukweli kuhusu Maisha ya Mtanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

    Unajua Hii wilaya kwanza kijiografia ipo mwinuko kati ya mita 1300 hadi 2200. Kuna hali nzuri sana ya hewa hilo halina ubishi. Watu wanaposikia hii wilaya kitu cha kwanza wanajua watu wa huko ni walevi choka mbaya kiasi kwamba hakuna maendeleo yeyote. Ila laiti wangejua Hii wilaya kila mtumishi...
  15. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu. Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
  16. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali na mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2021/22: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. trilioni 36.26

    SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88. Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
  17. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Utalii Zanzibar: Uchafu watajwa kuwa kikwazo

    Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii. Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Zanzibar kujiletea maendeleo yaongezeka, sasa inajenga bandari kubwa ya kisasa. Hongera Rais Mwinyi na Maalim Seif!

    Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki. Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk. Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
  19. JamiiForums Tanzania CCM hoyee: Kituo kipya cha Mabasi Ikungi

    Tuliahidi ... tunatekeleza
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vipi mnahamasisha wengine kulipa kodi ikiwa ninyi hamlipi kodi? Mtajua vipi kodi zilizopo ni kandamizi ilihali ninyi haziwahusu?

    Mabibi na mabwana tunapo tapatapa na pumzi kuweza kupumua, kumejitokeza mielekeo chanya sana katika kuwasaidia TRA kubaini vyanzo zaidi vya mapato yasiyokuwa na utata wowote. Ni vizuri kila aitwaye mtu na hasa aliye mzalendo wa kweli akalipa kodi kwa kila aina ya pato alipatalo. Huo ndiyo ulio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…