maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa elimu wa nchi yetu hauendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa

    Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania: Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Uadilifu na maendeleo: jinsi uadilifu unavyoathiri maendeleo, amani na haki katika jamii

    UADILIFU NA MAENDELEO: JINSI UADILIFU UNAVYOATHIRI MAENDELEO, AMANI NA HAKI KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uadilifu ni sifa ya kuwa mwaminifu, mwadilifu na mwenye haki. Ni tabia inayohusisha kufanya maamuzi sahihi na kufuata kanuni za maadili. Uadilifu ni muhimu sana katika...
  3. JamiiForums Tanzania EWURA wanatekeleza miradi gani ya maendeleo hapa nchini

    EWURA- Energy and Water Utilities Regulatory Authority na kwa kiswahili ni Mamlaka ya uthibiti ya Nishati na Maji kila malipo ya huduma hizo kutoka kwa watumiaji wote inakusanya 1% kama tozo. Hizi ni fedha nyingi sana na hasa ukizingatia uwingi wa watumiaji wa umeme, gesi na maji. Aidha EWURA...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la maendeleo ya dunia (Global Development Initiative) latoa changamoto kwenye fikra za kimagharibi kuhusu maendeleo

    Kwa muda mrefu sasa nchi za magharibi zimekuwa na sauti kubwa kwenye sera na mipango ya maendeleo ya uchumi duniani, kiasi kwamba imekuwa ni kawaida kuamini kuwa sera na nadharia za uchumi za nchi za magharibi ni sahihi. Inapotea kuwa nchi zinazofuata nadharia hizo zinaendelea kuwa nyuma...
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho katika utoaji wa elimu maalum katika kuchochoea maendeleo kwa wenye ulemavu

    Elimu maalum ni aina ya elimu inayolenga kutoa mafunzo na huduma za elimu kwa watu wenye mahitaji maalum au ulemavu. Mahitaji maalum yanaweza kuwa ya kimwili, kiakili, kihisia au ya kujifunza. Elimu maalum inalenga kutoa fursa sawa za elimu kwa watu wenye ulemavu ili waweze kufikia uwezo wao...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali za Mitaa Ziimarishwe Ili Kuharakisha Maendeleo ya Wananchi

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji ambazo zinasimamia shughuli za maendeleo za kata...
  7. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza aendelea kuchangia Miradi ya Maendeleo Songwe

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza tarehe 04 Julai, 2023 alishiriki Baraza la UWT Wilaya ya Songwe ambapo alichangia Mifuko 50 ya Cement yenye thamani ya Shilingi Milioni Moja kwaajili ya ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Songwe Mhe. Shonza alielezea...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kutoitambua Shahada ya Maendeleo Vijijini (Bachelor of Rural Development) toka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinie (SUA)

    BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004. Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuchochea Maendeleo Endelevu

    Uwajibikaji na utawala bora ni nguzo muhimu katika ujenzi wa jamii imara na inayostawi katika nchi yoyote ile. Uwajibikaji unaohusisha viongozi wa kisiasa, taasisi za umma, na raia ni msingi wa kuunda mazingira ya uwazi, usawa, na haki. Kujenga mifumo inayodhibiti mamlaka na kuhakikisha uwazi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi Barabara ya Segerea-Bonyokwa-Kimara waanza baada ya kulalamikiwa kwa muda mrefu

    Habari wakuu, Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tujenge utamaduni wa kujali vipaji ili tutanue wigo wa maendeleo

    Kipaji ni mtaji pekee ambao kila binadamu huzawadiwa na asili. Kila mtu anauwezo wa kipekee kufanya jambo au kitu Fulani. Na, ili uwezo huo (kipaji/kipawa) uweze kukua na kuendelezwa na kuleta matokeo chanya kwa mhusika na jamii, mazingira yana mchango mkubwa. Kama ilivyo kwa punje ya muhindi...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    NI JUKUMU LANGU KULETA MAPINDUZI YA KIJANI KWA MAENDELEO YA TAIFA Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na rasilimali mbalimbali ambazo huifanya Tanzania kuwa katika orodha ya nchi zilizobarikiwa duniani. La hasha! Sambamba na yote katika kuboresha na kuwezesha taifa letu kupitia rasilimali zake...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

    Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo. Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kushamiri kwa makampuni ya usambazaji yanayomilikiwa na watanzania kwaonesha maendeleo makubwa ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Tanzania

    Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na maendeleo vijijini

    Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija. Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika ngazi za chini za utawala limekuwa kubwa na hii pengine ni kutokana na serikali kutofuatilia mienendo...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika. Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala! Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho ya kiutendaji idara ya ustawi na maendeleo ya jamii katika kukabiliana na vifo, ukatili pamoja na upotofu wa maadili ngazi ya familia

    Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…