maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia ya China yamekuwa na manufaa makubwa kwa nchi za dunia ya tatu

    Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea kujienga China kuwa nchi yenye nguvu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia, huku ikifanya juhudi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utalii mamboleo kwa maendeleo ya taifa

    Utalii; Ni kitendo cha mtu au kundi la watu kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudan, biashara, kujifunza au makusudi mengine (Wikipedia, 2023). Utalii kwa Tanzania hivi sasa imekua ni sekta inayochangia takribani 25% ya pato la taifa na hii ni kwa mujibu wa hotuba...
  3. DON YRN

    JamiiForums Tanzania SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
  4. Calvin Mmari

    JamiiForums Tanzania SoC03 Natamani viongozi wote wangekuwa na mimi utotoni

    Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba kwani huchoki? "Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe" Hayo...
  5. Paul Isaac

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora: Mabadiliko yanayohitajika Tanzania

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ukosefu wa uwazi, na udhaifu katika utekelezaji wa sheria...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora na maendeleo

    Utawala Bora unahitaji uwajibikaji kutoka kwa serikali kwa watu wake. Ili kuhakikisha kuwa watu wanalindwa, serikali inahitaji kufanya kazi kwa uwazi na kutenda kwa haki. Ni muhimu kuweka mifumo ya uwajibikaji wa watumishi wa umma na kutoa taarifa zote zinazohusiana na utumishi wa umma. Kwa...
  7. abdulbasit

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji kichochezi cha Maendeleo na Demokrasia

    Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii muhimu inahusuiana na namna ambavyo taasisi mbalimbali, ikiwemo na serikali zinavyoweza kuhusika...
  8. Thomali

    JamiiForums Tanzania Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania?

    Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania? Je, ni upi umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo? Je, Dira ya Maendeleo ya Tanzania inahusu uelekeo wa nchi pekee au kuna zaidi ya hivyo? Ungana nasi katika...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Maendeleo ya Watu

    Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika kuleta maendeleo kwa wananchi hasa wale wenye uhitaji zaidi na hawana mtu wa kuwasemea changamoto zao...
  11. O

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora kwa maendeleo endelevu

    UTAWALA BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tanzania, kama taifa lenye lengo la kufikia maendeleo endelevu, inahitaji kuzingatia utawala bora katika nyanja zote za maisha ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama Tulivyochangishana Michango ya Sherehe, Sasa Tuanze Kuchangishana Michango ya Maendeleo

    Katika maeneo ambayo Watanzania wameonesha ushirikiano wa hali ya juu mno, ni kwenye masuala ya sherehe. Wengi wanaoshirikishwa wamekuwa wakitoa ushirikiano murua kuanzia kwenye uuandaji kamati, kuchangisha michango na hata kula na kunywa. Miongoni mwa shughuli za sherehe ambazo zimekuwa...
  13. Dave4148

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Watumishi wa Umma kwa maendeleo endelevu

    Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kofi Annan | “Utawala bora labda ndio sababu muhimu zaidi katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo”

    Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images UTANGULIZI Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan, uongozi bora ni labda sababu muhimu zaidi katika kufanikisha malengo haya. Kwa hiyo, ni muhimu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ahueni kwa jamii

    Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi. Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mkusanya mapato ashtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma. Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...
  18. partsonamani

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji Katika Kuimarisha Maendeleo ya Jamii

    Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, na haki za binadamu. Uwajibikaji, kwa upande mwingine, ni wajibu wa viongozi na taasisi...
  19. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii maendeleo ya technolojia yatachelewa sana

    Nchi nyingi za Africa tupo nyuma kitechnolojia kwa sababu kuu mbili. 1. Ukifanya jambo zuri kuhusu technology wanaishia kukusifia tu. Baada ya muda unasahaulika. Project nyingi tunaziona tunazisifia tunasahau. 2. Ukifanya jambo baya kuhusu technology unaishia kupewa kesi badala wakutumie wewe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
Back
Top Bottom