maelekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lee

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Kile kilichotokea Jumamosi ya tarehe 8 na kauacha sintofahamu mpaka mda huu idara husika zinazidi kuchanganya wapenda kabumbu kwani TFF wanadai ilipokea taarifa kutoka bodi ya ligi leo hii bodi ya ligi inadai TFF, tusubirie kikao cha leo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile atoa maelekezo juu ya kuboresha mifumo ya TEHAMA nchini

    DKT. NDUGULILE ATOA MAELEKEZO JUU YA KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA NCHINI Na Faraja Mpina, WMTH, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula kuitisha kikao cha wadau wataalamu wa Mifumo ya TEHAMA...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

    Habarini wadau, Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni. Nawasilisha.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tunatekeleza maelekezo ya Rais kwa vitendo, barakoa za mabeberu zina mapandikizi ya COVID19

  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Viongozi kutokuvaa barakoa,ni maelekezo ya Serikali?

    Picha zinajieleza. Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma. Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; WHO ametoa maelekezo lakini kuna wasio sikiliza maagizo

  10. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya mabasi ya abiria kukaa stendi za wilaya na Mikoa watu wale na kupata huduma ya maliwato yanatekelezeka?

    Naona Kama nchi Sasa inakopelekwa si kuzuri, kila Jambo analoona Waziri au kiongozi wa chama linakuwa sheria. Nimemsikia polepole na Waziri chanel ten wakitoa maelekezo kwa mabasi yote kukaa stand muda mrefu watu wale nakujisaidia. Najiuliza Hawa watu wanajua hizo stand zina hadhi gani...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kufuatia maelekezo ya Rais Magufuli,bilioni 11 zaokolewa chakula cha wafungwa

    Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula. Akizungumza leo...
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzia Julai 1, 2020 ilirekebisha viwango vya PAYE. Sasa itoe maelekezo kwa Trade Unions na NHIF kupunguza makato

    Serikali kuanzia July 1, 2020 ilifanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mishahara (PAYE) na kutoa unafuu fulani kwa watumishi. Naipongeza Serikali kwa maamuzi haya japo tunahitaji iende zaidi ya hapa kwa kuhakikisha inaboresha mishahara ya watumishi kwa kuiongeza kila mwaka. Kama serikali...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?

    Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiwa mmekaa zenu Maskani halafu Mama akampa Mtoto Hela akanunue Kitu Dukani kisha akiwaona anampa Maelekezo haya Mtoto huwa anamaanisha nini?

    Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu lakini akiwaoneni tu nyie mmekaa anaongea kwa Msisitizo na Sauti ya juu kabisa huku akiyasema haya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Singida wameachiwa huru

    Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

    Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
  19. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama wa ACT-Wazalendo tunamtaka Kiongozi wa chama atupe maelezo ya hatma ya mgombea wetu wa Urais

    Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu. Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura za Urais takribani wiki mbili zijazo. Mgombea wetu wa Urais haonekani popote na hakuna maelekezo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom