maelekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

    Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Kuna Aliyewahi Kufuata Maelekezo Akafanikiwa Kwenye Hili?

    Nimekuwa napokea meseji nyingi za hivi, lakini nikifuata maelekezo sioni matokeo👇 Ndugu Mteja, tuma taarifa za UTAPELI unaofanyika kwa njia ya simu kwa kutuma ujumbe wenye neno utapeli kwenda 15040 kisha fuata maelekezo au piga *148*90#
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndugu Victoria Mwanziva: Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa afuatilia maelekezo ya Mhe. Rais kwenye Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb). Ndugu Victoria Mwanziva amefika Wizarani akiwa na lengo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unywaji holela wa dawa bila kupewa maelekezo ya Daktari

    UNYWAJI HOLELA WA DAWA BILA KUPEWA MAELEKEZO YA DAKTARI Dawa mtu hupewa baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa fulani au ana dalili za ugonjwa fulani, baada ya kumuelezea daktari kwa undani na kufanyiwa vipimo kutokana na dalili alizozisema ila siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la unywaji...
  8. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo juu ya suala la fomu TaESA

    Nilijaza form kupitia online, lakini sijapata registration namba na profile picha ina-fail kui update. Mliowahi kujaza hiyo form ya TaESA naombeni maelekezo nipate registration namba.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka RITA kuchunguza na kubainisha sababu za mwamko mdogo kwenye kuandika wosia

    Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kukusanya maoni kwa wananchi kuhusu sababu ya mwamko mdogo wa Wananchi katika kuandika wosia. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo amesema wosia siyo uchuro, mtazamo hasi kuhusu suala hilo umesababisha kuibuka migogoro...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wapya tunaosubiria barua ya ajira ili kuripoti Julai 1, 2022 tukutane hapa

    Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TANESCO huu mgao kwanini hamtolei maelekezo?

    Kumekuwa na kukatwa kwa umeme baadhi ya maeneo ya nchi kuanzia asubuhi hadi jioni mengine kuanzia jioni hadi usiku sana tungetamani Tanesco watufahamishe kuhusu huu mgao au tatizo lililopo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

    MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi. Kwa mujibu wa...
  13. P Accountant

    JamiiForums Tanzania HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape aitaka TCRA kushughulikia malalamiko ya wananchi kuunganishwa huduma ambazo hawajaomba

    WAZIRI NAPE ATOA MAELEKEZO KWA TCRA, MAKAMPUNI YA SIMU Na Mwandishi wetu, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na makampuni ya simu kutatua kero na malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Serikali za Mtaa hazishauri Serikali Kuu badala yake zinapokea maelekezo kutoka Serikali Kuu

    Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali. Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki. Mhe...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mawakili kesi ya Mbowe na wenzake watatu walibadili mbinu baada ya kuona kila pingamizi la utetezi linagonga mwamba

    Mwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks” Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani walijua mapingamizi yao yangekula muda na yangetupwa. Ikabuniwa mbinu mpya Utetezi ukawa unakubali...
  19. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Maelekezo toka TANESCO ya namna ya kuondoa Error 77 kwenye mita zinazoanza na namba 2421.

    https://t.co/DCXZzvg2Pu
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TBL yakubali kufuata maelekezo ya Serikali kununua shayiri nchini

    KAMPUNI YA TBL YAKUBALI KUFATA MAELEKEZO YA SERIKALI Dodoma, Tanzania. Serikali imewahakikishia wakulima wa shayiri kupata soko la uhakika kwa kuiuzia moja kwa moja Kampuni ya Bia Tanazania TBL . Akizungumza baada ya kikao chake na viongozi wa TBL kilichohudhuriwa na Naibu Waziri wa...
Back
Top Bottom