maelekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  2. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

    Wakuu Salaam; Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani? Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje. Jana pia Polepole kalilia hicho. Mgombea Urais...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

    Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa. Hawaaminiki tena na wala hata wao...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, chombo cha Habari cha Umma cha TBC kinapewa maelekezo na watawala wetu wa CCM ya nini cha kutangaza na kipi si cha kutangaza?

    Tupo katika kipindi muhimu sana cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwishoni mwa mwaka huu. Ni matarajio ya Watanzania wote kuwa vyombo vyetu vya habari vya Umma vitatekeleza wajibu wao kwa usawa bila kupendelea chama chochote cha siasa. Tumeshuhudia chombo cha habari cha television ya Taifa...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu: Wajumbe karne hii wanajua cha kufanya hawapokei maelekezo kutoka juu

    Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA? Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mteja alipokuwa akimpa Maelekezo haya Fundi wake wa Mlango alikuwa akimaanisha nini labda?

    Naukuu..." Fundi tafadhali sana nataka Mlango wangu unaonitengenezea Urefu usiwe Steve Nyerere na Upana Zamaradi Mketema, "
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inakuaje magazeti haya yanakuwa na kichwa cha habari kinachofanana?

    Magazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?
  8. Timtim

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
  9. KamyZee

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kupata uhamisho kidato cha tano

    Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you. Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye...
Back
Top Bottom