madiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa viongozi wa UWT na madiwani wanawake Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo wa utekelezaji wa majukumu yao ili kuleta mabadiliko ya kiutendaji katika Chama cha Mapinduzi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed awasisitiza Wabunge na Madiwani kutekeleza ahadi binafsi

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania UWT watoa kila la heri katika uchaguzi mdogo wa Madiwani

    Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Mary Pius Chatanda unapenda kuwatakia Uchaguzi mwema Wagombea wote wa nafasi za Udiwani wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi kwa kuwatakia Ushindi wa Kishindo.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri wanachukua Mikopo ya 10% kwa Vikundi Feki

    Rais Samia amesema Serikali inashughulikia namna itakavyotoa tena Mikopo ya 10% ya Halmashauri kwaajili ya Vikundi ambayo ilisitishwa baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2022/23 kuonesha kulikuwa na ubadhirifu mkubwa Akizungumza wakati akiwaapisha Viongozi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baadhi ya Madiwani wanahusika katika kusababisha Migogoro ya Ardhi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya Viongozi wakiwemo Madiwani wa Halmashauri mbalimbali wamekuwa na utaratibu wa kuanzisha Vijiji kwa lengo la kujinufaisha kwenye masuala ya Uchaguzi, hali inayochangia kuibuka kwa migogoro ya Ardhi Akizungumza baada ya kuapishwa kwa Viongozi aliowateua...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ongezeko la uzalishaji wa ulanzi wawaibua Madiwani kuomba Kondom kusambazwa vilabuni

    ONGEZEKO la uzalishaji wa pombe ya kienyeji aina ya ulanzi na mahusiano yake na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) limewaibua baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wakitaka usambazaji wa kondomu katika vilabu vinavyouza pombe hiyo kuongezwa. Madiwani hao wameiomba kamati ya...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madiwani lasimamisha Watumishi watatu Geita

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Kiutumishi . Akitoa Taarifa hiyo katika kikao Maalumu kilichoketi mara baada ya kukamilika kwa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Madiwani walalamika uhaba wa Viti (Wanakaa Chini)

    Madiwani wa Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi, wamelalamika kukosekana kwa meza na viti katika ukumbi wa mikutano na ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na kupelekea madiwani hao kukaa chini wafikapo katika ofisi hiyo huku wakidai kushindwa kuandika kumbukumbu pindi wakiwa katika vikao...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume yateua madiwani wanawake wa viti maalum watano

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

    Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi. NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi ya maendeleo Kama ilivyoainishwa kwenye ilani
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?

    Wanabodi, Kama kawa, leo nimepata fursa kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa swali Je Wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni Batili? Je, muswada huu ni mvinyo ule ule wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena. Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero. Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Mbeya wapongezwa kwa kuwafuta kazi watumishi wabadhirifu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
  15. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  16. naliwe

    JamiiForums Tanzania Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

    Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi? Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM Jimbo la Hai, washindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao tangu mwaka 2020 hadi sasa.

    Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao. Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Yalipaswa kuwa makubaliano kati ya Dubai na Ilala, tena yapitishwe na baraza la madiwani na sio bunge.

    Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na kuridhia ule mkataba wa kifedhuli. Sasa wataalamu wetu wanasema lile deal la makubaliano ya...
  20. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

    Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo. Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya? Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall! Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio. Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
Back
Top Bottom