MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE
Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao.
Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
Kuepuka gharama, rushwa na mlolongo mrefu wa majukumu.
Napendekeza hivi:
Diwani awe na elimu ya chuo,
Mbunge atokane na madiwani,
Mkiti/Meya wa jiji/halmashauri/Mji/Manispaa
Wawe mbadala wa mbunge anapofariki au tatizo lakiafya.
M/Kiti Msaidizi:
Meya msaidizi apande na madiwani wamchague...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta waraka namba moja unaowaondoa madiwani kushiriki katika shughuli za uidhinishaji mipango ya uendelezaji miji katika halmashauri zao uliotolewa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi nchini.
Kabla ya kutolewa waraka huo mpya...
Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.
Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo.
=======
Baraza Maalum la Madiwani...
Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono.
Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Vijana hawa wananyanyasika sana na polisi pamoja na mkuu wa wilaya.
Kila siku lazima wakamatwe au kupigwa mabomu ya machozi bila sababu za msingi.
RPC aliapa kuwanyoosha/kulipa kisasi kwa sababu walimzomea mkuu wa wilaya
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga hasa wenye ulemavu wapo hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kipindupindu kutokana na ukumbi wanao utumia kwa ajili ya mikutano kuwa na uhaba wa matundu ya vyoo hali inayopelekea kujisaidia kwenye vichaka vilivyopo karibu na...
Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo.
Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua kwamba mwaka wa ushindi wa kishindo ambao wapinzani walisusa uchaguzi viongozi wa CCM wengi wao...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.
Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa...
Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa.
DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy...
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.
Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.
Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.