madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adai madeni ya Awamu ya Kenyatta ni chanzo cha mishahara kuchelewa kulipwa

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu madeni ya Afrika, kurudia uongo hakubadilishi ukweli

    Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya Marekani na nchi Magharibi wamechukua fursa hiyo kuipaka matope China kuhusu madeni yake kwa nchi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute

    Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kijana ajiua akihofia kudaiwa Sh 45,000

    Kijana anayefahamika kwa jina la Bukindu Bukindu (22), mkazi wa kijiji cha Ihega, Kata ya Bukoli wilayani Geita amefariki kwa kunywa sumu ya panya, akihofia kudaiwa Sh 45,000 aliyoagizwa kununua soda. Akizungumuzia tukio hilo, mama wa marehemu, Shija Anthony, amesema mwanaye alijiua siku ya...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vouda Mlijua Mkinitaja Majina yote Kuniwishi Birthday ndio Ntalipa Deni. Thubutu na Mkome Na Bado Mpawa Silipi

    Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
  8. babu M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

    “Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.” -Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
  9. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k. Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

    Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu usije kuanza kumlaumu Tundu Lissu kwa madeni ya mikataba

    Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba. Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

    Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina. Dhahabu ni fedha ya kigeni. Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo. Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini. Inaitwa thinking out of the box.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wachumi watoa tahadhari nchi kusamehewa madeni

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya. “Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
  15. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China. Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania. Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna taasisi za serikali watumishi wake wananuka madeni kama wamelaaniwa

    Habari! Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya deni. Hapo kuna mikopo ya wakopesha pesa kwa riba, yaani pesa za mkononi. Akipata posho analipa...
  17. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Unapataje Afya ya Akili ili hali unadaiwa namna hii?

    Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii? Kanisani. 1. Unadaiwa Fungu la kumi 2. Ujenzi wa Kanisa. 3. Kumnunulia gari Mtumishi. 4. Ujenzi nyumba ya Pastor. 5. Mchango kwa wasiojiweza. Serikalini. 1. TRA 2: TOZO. 3: Leseni ya biashara. 4: Bill ya MAJI 5: Bill ya umeme 6:Tozo ya...
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mpe hela yake! Naongea na wewe mwenye mbwembwe wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Naongea na wewe ambaye kila siku ni kukopa kwa matatizo yako halafu kulipa mpaka yafanyike matanga! Mbwembwe kibao wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti! Mara ooh "niazime elfu 30 hapo niweke mafuta kwenye gari nitakurudishia ndugu yangu"...
  19. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bukombe walipeni watumishi madeni yao ili tupate matokeo chanya

    Salaam wana jukwaa, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia mnazokumbana nazo toka kwa wakuu wenu wa vitengo na wengine wengi waliopewa mamlaka ya kusimamia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na BOT, mbali na watumishi kukatwa mishahara kulipa mikopo yao, watumishi waruhusiwe pia kulipa wao wenyewe waweze kumaliza madeni yao mapema

    Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
Back
Top Bottom