mademu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mbinu za kupendwa na mademu wengi

    Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa? Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu...
  2. GENTAMYCINE

    Mliopo Morogoro ni 'Chocho' gani lina 'Mademu' wazuri ila hawana Gono, Kaswende na Dally Kimoko Virus?

    Fanyeni chap kunijibu kwani nipo Moro!!
  3. Komeo Lachuma

    Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

    Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi? Shida nini? Naumia sana...
  4. luangalila

    Mliowahi ku-date na wadada wa Kiganda njooni hapa

    Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala. Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa...
  5. GENTAMYCINE

    70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  7. The only

    Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

    Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa . Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
  8. Deejay nasmile

    Hata kama nikipata hela hawa mademu mastaa (wanajiita pisi) sitaki hata wazijue contacts zangu

    Yaani sijui ni mitandao na zile filter za apps.ndo zinawapa kiburi na kujiona wazuri, wajanja, watamu, matajiri. Sasa ukikutana nao show show duh, utabaki upaliwe mate kwa kucheka na mshangao....wapo kawaida hatari...ninavosema KAWAIDA naomba nieleweke vizuri..yaani wapo KAWA IDA...kiasi kwamba...
  9. Idugunde

    Wanaume wengi wamegeukia upigaji mitungi na kuachana na mademu ili kuondoa stress

    Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu...
  10. Superbug

    Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

    Gazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
  11. Samia atosha tukutane2030

    Kama huna uwezo wa kumpeleka lodge achana na mambo ya mapenzi

    Nawapa hint wadogo zangu na ma brother wangu. Ukijiona kila ukimpata demu uwezo wako ni kwenda guest house tu, tena huko unaomba ulipe kwa show time ili ubane matumizi basi jua umeyakimbilia mapenzi. Tafuta pesa , yes mwili umeshakua tena huenda una zaidi ya miaka 30 lakini mfuko wako haujakua...
  12. S

    Mademu wenye misambwanda njooni, kwa nini mnatutesa

    Hi wana chit chat Leo nimekuja kueleza maoni yangu juu ya hawa wadada wenye mizogo,makalio aka misambwanda mmekuwa mkituumiza sana tukiwa sehemu mbali mbali, mara mpite mnatingisha, mara mpite mmevaa tight lainii, mara muonyeshe shanga zenu kiunoni, mara vitovu, ilimradi tu mtuumize sisi vijana...
  13. A

    Hii tabia ya wadada kukubali uchukue namba zao ila wao kuja gheto ni kama unatongoza mara ya pili...

    Nawapa hongera wale wadada wasiotoa namba zao za simu, kuliko hawa wanaotoa namba ila ukiomba kukutana nao siku flani, hata kama ni kwenye mgahawa mpate soda mbili tatu, ni kama vile unapanga appointment ya kukutana na mheshimiwa rais..hizo sababu na kalenda utakazopigwa, usipoweza jizuia...
  14. Ngareroo

    Nilivokosa kuingia jela kisa wasichana Sikukuu ya Eid

    Oozah inakuaje wajuba fas izi, I hope mko yechu ile kinyax, basi bhana acha niende moja kwa moja kwenye mada... Ebhana siku ya Eid nilitimba na wahuni wangu town kati pale ku'party. Tulikua na kikosi cha watu kama 20 hivi, ile one time tuka'chill kwenye kidaraja flani hivi tukaanza kunyonga...
  15. long live my love

    Mademu wananikimbia kisa ubahili wangu.

    Nawaasa mabaharia wenzangu kwa hili. Nimekuja kubaini kwamba pisi zinaamuaga kunipotezea kisa sio mhongaji mzuri. Kutokana na muonekano wangu wa nje mademu wanajuaga ni mhongaji kumbe wapi,mimi nikizidisha sana demu nampa elfu kumi ila mara nyingi buku tano. Wengi nikitongoza wanaanza vizinga...
  16. Jile79

    Kuhusu Wasichana wa Arusha

    Kuna vitu vingi sielewi kuhusu mademu wa Arusha. Hawa mademu wa Arusha wanashida gani? Nipo nakunywa kaunta hapa Kuna demu ndio yupo kaunta. Nimemchombeza kidogo kajimwambafy kinoma na kaniwekea clip fulani ya kibabe sana hata sielewi anataka kunionesha nini aisee. Huku kujiamini kunatokana...
  17. Gily Gru

    Marehemu Babu na mbinu za kuwapata wanawake wengi

    Mwaka 2003, safari yangu ya kwenda Tanga iliiva kutoka mkoani Kilimanjaro, kwa babu mzaa baba, kuelekea Tanga kwa babu mzaa mama. Siku hiyo nyumbani kwa babu kulikuwa na sherehe, basi watu walikula na kucheza sana. Wakati wa kucheza babu akanikuta niko nimeshikilia jimama nacheza nalo, ile...
Back
Top Bottom