Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa .

Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
 
Subiri wazoefu waje, mimi tangu niache pombe miaka kadhaa sasa mji wa Nairobi mida ya usiku huwa kama mgeni.
Ukiwa na hela yako na kama kweli wewe mjanja wa Dar mbona unakatiza katiza tu freshi, tafuta dereva wa taksi akuonyeshe mautamu yote ya mji.
 
Kenya kuna warembo mablack beauty wakali simchezo. Walahi kuna siku mtoto wa kijaluo almanusura anitoe roho bed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri wazoefu waje, mimi tangu niache pombe miaka kadhaa sasa mji wa Nairobi mida ya usiku huwa kama mgeni.
Ukiwa na hela yako na kama kweli wewe mjanja wa Dar mbona unakatiza katiza tu freshi, tafuta dereva wa taksi akuonyeshe mautamu yote ya mji.
Kaka Niko Nairobi tangu tarehe 15.09.2021. kwanza ni miaka 9 bila kufika. Kumebadilika. Hila hii carfew inaua vibe. Kumepooza sana.

Ila barakoa zianvaliwa balaa. Aliyeko online Niko hapa Ngara nakula bear kidogo kabla ya Carfew
 
Nairobi ni kubwa achana na hizo baa zenye ziko famous... Kama unataka raha..., itisha Uber , ongea na driver vizuri na atukupeleka pahali utajipea raha utakavyo.
 
Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa .

Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
Kenya hamna Mademu, nenda club tu
 
Mbona hamsemi specific places jamaa akale bata…
Kwa Mfano, ukija bongo ntakupeleka Juliana, tips, beach kidimbwi, serene then tunamalizia usiku wetu pale havoc . Next day tunaanzia Goba halafu tunahamia tabata then tunamalizia bata maisha club
Next day tunaenda viwanja vingine

Hii ndio sababu jamaa zangu wakitoka nairobi huwa hawatamani kurudi kenya.
 
Kenya hamna Mademu, nenda club tu
Naona aisee
Mbona hamsemi specific places jamaa akale bata…
Kwa Mfano, ukija bongo ntakupeleka Juliana, tips, beach kidimbwi, serene then tunamalizia usiku wetu pale havoc . Next day tunaanzia Goba halafu tunahamia tabata then tunamalizia bata maisha club
Next day tunaenda viwanja vingine

Hii ndio sababu jamaa zangu wakitoka nairobi huwa hawatamani kurudi kenya.
We ndo mzalendo sasa
 
Kaka Niko Nairobi tangu tarehe 15.09.2021. kwanza ni miaka 9 bila kufika. Kumebadilika. Hila hii carfew inaua vibe. Kumepooza sana.

Ila barakoa zianvaliwa balaa. Aliyeko online Niko hapa Ngara nakula bear kidogo kabla ya Carfew

Hehehe!! Haya jiache, kuna bar huwa naskia hawana vya curfew wala nini, nenda pale mkabala wa Kahawa barracks, hutumika sana na wanajeshi wa KDF na wale huwambii kitu kuhusu curfew.
 
Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa .

Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
Hivi ukienda bar ni lazima kuwe na babies sisi wanaume na tuna ndoa zetu kabisa
 
Back
Top Bottom