Oozah inakuaje wajuba fas izi, I hope mko yechu ile kinyax, basi bhana acha niende moja kwa moja kwenye mada...
Ebhana siku ya Eid nilitimba na wahuni wangu town kati pale ku'party. Tulikua na kikosi cha watu kama 20 hivi, ile one time tuka'chill kwenye kidaraja flani hivi tukaanza kunyonga...
Nawaasa mabaharia wenzangu kwa hili. Nimekuja kubaini kwamba pisi zinaamuaga kunipotezea kisa sio mhongaji mzuri. Kutokana na muonekano wangu wa nje mademu wanajuaga ni mhongaji kumbe wapi,mimi nikizidisha sana demu nampa elfu kumi ila mara nyingi buku tano. Wengi nikitongoza wanaanza vizinga...
Kuna vitu vingi sielewi kuhusu mademu wa Arusha.
Hawa mademu wa Arusha wanashida gani?
Nipo nakunywa kaunta hapa Kuna demu ndio yupo kaunta. Nimemchombeza kidogo kajimwambafy kinoma na kaniwekea clip fulani ya kibabe sana hata sielewi anataka kunionesha nini aisee.
Huku kujiamini kunatokana...
Mwaka 2003, safari yangu ya kwenda Tanga iliiva kutoka mkoani Kilimanjaro, kwa babu mzaa baba, kuelekea Tanga kwa babu mzaa mama. Siku hiyo nyumbani kwa babu kulikuwa na sherehe, basi watu walikula na kucheza sana. Wakati wa kucheza babu akanikuta niko nimeshikilia jimama nacheza nalo, ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.