madawa ya kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    SoC02 Matumizi ya madawa ya kulevya; Sababu, madhara na namna ya kuzuia

    Ilikuwa asubuhi na mapema baada ya hali yake kubadilika, alisikika akitoa kauli za matusi na vitisho vya kutaka kuua ndugu zake, ilikua ni takribani wiki mbilitu baada ya kufeli jaribio la kujiua. Ni mgonjwa wa akili ambaye amekua na historia ya matumizi ya madawa ya kulevya kwa kipindi kirefu...
  2. H

    SoC02 Namna viwanja vya wazi vinatumika kuongeza watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Dar es salaam

    Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo. Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
  3. K

    Nimeona Madawa ya kulevya yanauzwa Tandika Sterio, Polisi fuatilieni

    Nimepita katika soko la Sterio pale karibu na Msikiti mkuu uliopo pale, nimekuta madawa ya kulevya yanauzwa na kutumiwa hadharani. Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
  4. JanguKamaJangu

    Leo Juni 26 Ni Siku ya Kupinga Matumizi ya Madawa ya Kulevya Duniani

    Juni 26 ni siku ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi Mabaya ya Madawa ya Kulevya na Usafirishaji Haramu, inaadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuifanya Dunia kuwa huru kwenye matumizi ya Madawa ya Kulevya. Imekuwa ikiadhimishwa tangu kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Desemba...
  5. Chaliifrancisco

    Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

    Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
  6. Chief nduna songea

    Madawa ya kulevya yalivyo mpoteza matembo Suz perez

    Suzy Perez alikuwa mmoja wa vixens wa miaka ya 2000 mapema. Mwanamitindo huyo mzaliwa wa Dominika alijitokeza akiwa na nywele ndefu, nyeusi, rangi ya caramel, na mwili wa kuvutia Suz perez alikuwa mcheza densi mbadala wa Jennifer Lopez na alifanya kazi na P Diddy. Suzy pia alikuwa jumba la...
  7. JanguKamaJangu

    Zanzibar: Wapelelezi wanaokwamisha kesi za madawa ya kulevya waonywa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Kamishna wa Polisi, Awadhi Juma Haji amewaonya wapelelezi wanaokwamisha kesi za dawa za kulevya Zanzibar kuwa jeshi hilo halitakuwa na muhali kwa maafisa hao na kusisitiza ueledi katika majukumu yao. Kila mpelelezi awajibike kufuatilia jalada lake hatua kwa...
  8. B

    Hizi plate no. ni za taasisi gani? Kikosi cha kupambana na Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

    Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani? Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu "SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
  9. J

    Makundi matatu ya watumiaji wa MADAWA YA KULEVYA na je, mtumiaji anaweza kupona?

    Watanzania wengi wamekuwa wakiumizwa na changamoto za vijana wao kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kujikuta wanapoteza malengo yao ya kimaisha kama vile kupata elimu, kuwa na maisha mazuri, kuwa na familia bora na kujikuta wanaangukia kwenye utegemezi mkubwa badala ya wao...
  10. Nyendo

    Kamishna Jenerali, Gerald Kusaya: Baadhi ya Watanzania waliomba kibali kwenda kutibiwa India na wakabeba madawa ya kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini India ilhali wakiwa wamebeba dawa za kulevya. Hata hivyo licha ya kutumia mbinu ya kupata vibali vya...
  11. Kiturilo

    Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

    Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio. My take. Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena...
  12. Nyendo

    Inadaiwa Pauline Zongo amerudia kutumia madawa ya kulevya

    Pauline Zongo alipelekwa Sober house ili kwa ajili ya kuachana na madawa ya kulevya. Lakini Mange Kimambi aneandkika kuwa baada ya kutoka Sober amerudia tena na sasa hali yake ni tia maji tia maji.
  13. Red Giant

    Madawa ya kulevya hayana shida kihivyo, kilichopo ni vita tu ya kiuchumi

    Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana. Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Kukithiri kwa mateja (Wala madawa ya kulevya) Serikali iwajibike maana ndio inayopelekea tatizo kuwa kubwa zaidi

    Habari! Twende kwenye hoja. Mateja au kuongezeka kasi ya matumizi ya madawa ya kulevya serikali ndio chanzo kikuu. Kwanini niseme serikali ndio chanzo kikuu cha tatizo hili? Serikali ndio inayokusanya kodi, hizo kodi ndizo hutumika kuwalipa watumishi wa idara ya polisi, TISS, Uhamihaji, Tume...
  15. Kalpana

    Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

    Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati. Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
  16. Replica

    Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

    Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo...
  17. ESCORT 1

    TID: Makonda alinachafua sana kwenye ishu ya madawa ya kulevya

    Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau! TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa...
  18. L

    SoC01 Dawa za Kulevya zinavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa

    Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz. Unamkumbuka Chid Benz katika ubora wake akiwa karibu na kipaza sauti? Alitisha sana, ukibisha unachotakiwa kufanya ni kutafuta...
  19. Mwanahabari Huru

    Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

    ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
  20. S

    Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
Back
Top Bottom