Njia 3 zinazotumika kusafirisha madawa ya kulevya kwa siri .

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Ushoga dili,kumbe wengine washafirishaji wa madawa ya kulevya sikia hii.
Leo ni siku nyingine tena katika chanel hii hapa unapata elimu na BURUDANI kwa kina kabisa.
Tuanze na habari kuhusu ushoga.
Ushoga ni nini? Ushonga ni hali ya kutamaniana we mwenyew angali wote. Mko na jinsia moja
MWANAUME kwa MWANAUME hapa ndo imemata sana. Kwa wanawake inaitwa usagaji ambavyo usagaji ni kitendo kinachofanywa na watoto wakike pekee wanaingiliana wao kwa wao ko hao wanasagana. Si ndio
Haya kwanini mashoga wafanye biashara ya madawa ya kulevya kuna njia inatumika kubeba hayo madawa nadhani next nitakupa list nzima
Asante kwa leo niishie hapo
 
Back
Top Bottom