Je, pombe ni madawa ya kulevya?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,069
40,732
Madawa ya kulevya ni nini, kitaalam, na je, pombe inaangukia katika kundi hilo la madawa ya kulevya? If not, why?! Ukizingatia ongezeko la ‘GABA’ mwilini?
 
Ni madawa ya kulevya maana ukinywa unalewa
Ni kwani sasa kwa mfano, tunazuia ‘Marijuana’ ila tunaruhusu ‘alcohol’? ; tujadili with an open mind bila prior bias based on subjectivity, tuwe objective kabisa with a clean slate of mind.., maana kuna andiko zito sana linakuja, nimeona mi vyema tuandaane kisaikolojia kwanza..
 
Tatizo la mjani wengine ile vuta tu ya kwanza wanawehuka na kuwa machizi kimoja tofauti na pombe
 
Kwahiyo kiwango cha ulevi kwenye marijuana ni kikubwa inherently bila kujali kiwango utakachotumia?
Kiwango cha ulevi sikijui ila bangi unaweza kuvuta mara moja na akili zikaruka kuanzia siku hio tofauti na bia
Na hii ni kwasababu wanasema ule moshi hupand moja kwa moja kwenye ubongo
 
Unashangaa pombe? Shangaa kahawa na chai zimo katika kundi la dawa za kulevya. Pombe ni aina ya dawa kulevya iliyo katika kundi la pili, kundi lingine lina kahawa na chai.

Kundi la kwanza ndio linalolopigwa marufuku kuliko makundi mengine, kundi la kwanza la dawa za kulevya lina cocaine, heroine, bangi na nyingine za aina hizo.

Kuna kundi lina tumbaku, dawa za kulevya zipo za aina nyingi, zilizochakatwa na zingine ni ghafi. Makundi mengine ya dawa za kulevya hayapigwi marufuku kwa nguvu kubwa na mengine hayapigwi marufuku kabisa kutokana na uraibu wake
 
Back
Top Bottom