madawa ya kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Gramu 326.46 za Cocaine zampeleka Horohoro jela maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46. Hukumu hiyo ilisomwa tarehe 23 Septemba...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

    Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena. Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha madawa ya kulevya mtaani kimeshuka

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kuwa kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya kwa kushirikiana na jamii, wameweza kupambana na uuzwaji wa dawa za kulevya nchini, na kwa sasa kiwango cha dawa hizo mtaani kimeshuka. “Kiwango...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha biashara ya dawa za kulevya nchini?

    Kila mara tunasikia taarifa za ukamataji mkubwa, operesheni nzito na kampeni za kupambana na dawa za kulevya… lakini mitaani mtandao wake unazidi kuenea. Je, tatizo ni udhaifu wa mifumo ya sheria? Ni viongozi hawawajibiki ipasavyo? Au kuna watu wenye nguvu wanaonufaika na biashara hii? Kila...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hivi Chid Benz alikuwa analishwa nini huko sober?

    Soma pia: Majuto ya Chid Benz Chanzo: efm
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

    Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa wanawake wa kiarabu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

    15 Julai 2025 273 Voortrekker Road, Goodwood, Cape Town, Western Cape, South Africa Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni...
  12. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa El Chapo Ovidio Guzman Lopez kushirikiana na serikali ya Marekani dhidi ya familia yake kesi ya dawa za kulevya

    Mtoto Wa El chapo Ovidio Guzman Lopez amekiri kosa baada ya kukutwa na hatia kesi ya kuendesha magenge ya madawa ya kulevya nchini marekani. Ameweka wazi na kukubali kushirikiana na serikali ya marekani dhidi ya familia yake kwa lengo la kupunguziwa adhabu au muda wa kukaa jela. Mtoto kaamua...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Tumemkamata muingizaji Dawa amemeza Paketi 86, Serikali imemlisha Pilau na Biriani ili zishuke, na zimeshuka zote ardhini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema: "Tumemkamata mtu mmoja wa Ubelgiji lakini pia ni raia wa Burundi. Amekwenda kuchukia mzigo huko kwao, anapitia Tanzania ili ndiyo aende Ubelgiji. Sisi tumemnasa." "Amehojiwa sana na wataalam wetu baada ya kumtilia mashaka, akatamka kwamba amemeza vidonge...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chid Benz amekua 'Pande la Mtu', tazama akitumbuiza kwenye siku ya kupambana na madawa ya Kulevya

    Chid Benz mpya akitumbuiza kwenye siku ya kupambana na madawa ya Kulevya Dodoma
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya

    Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya Taarifa kamili inafuatiliwa kwa kina na Watanzania waishio Marekani, inawezekana inachelewa kwasababu Roma sio msanii maarufu Marekani hivyo basi ili kupata taarifa zake inalazimu Watanzania waishio Marekani wafuatilie kwa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Rais wa El Salvador ameweza kuushinda uharifu hatari kwa muda mfupi ila nchi kama Mexico inachechemea?

    Huyu mwamba wa El Salvador ana hasira sana, hadi akamwambia trump wewe niletee mu-salvador yoyote anaewasumbua huko Marekani, trump akamtumia lukuki 🤣 Jamaa ameweza kupambana na magenge hatari ya madawa ya kulevya nchi mwake kupelekea uharifu na vifo kupungua kwa kasi ya kihistoria Cartels...
  18. ITR

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

    Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi sijui ashuke malaika gani. (1) Iran - Ndani ya Iran ni bora ukamatwe ukiifanyia upelelezi...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kupitia video hii ni kweli viongozi wanahusika kwenye kusafirisha madawa ya kulevya alafu wanouwawa ni vijana

    Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam, Baada ya kukamatwa wao wakazima simu , https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa mfano ingekuwa wewe Rais ungedili vipi na Ufisadi na Madawa ya Kulevya.

    Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini. Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
Back
Top Bottom