Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao
"AMANG'ANA GASARIKILE"
Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/=
Mwingine miaka 22
https://www.jamiiforums.com/threads/picha-ya-uso-wa-mtu-aliekata-tamaa-ya-kuishi-baada-ya-kuhukumiwa-miaka-22-jela.2155829/
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!
Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!
Bangi inaota...
Utangulizi.
Baada ya kuja kwa ubepari , uhuru wa watu kufanya Biashara popote ilichangia kuwa na muingiliano wa wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Dunia .
Hapo ndipo walanguzi wakubwa walipopata nafasi kupitisha Madawa ya kulevya, kwenye viwanja vya ndege, mipakani Kwa njia ya Barabara...
Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi.
Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka, Huenda Msanii huyu ana chembechembe za utumiaji wa madawa kutokana na kupoteza muonekano wake wa...
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli
Tukaendelea
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
Hii habari ipo BBC jinsi Submarines zinavyopitisha madawa ya Kulevya; ni ngumu kuzishika na kwa kipindi kirefu sana zimekuwa zikitumika kupitisha madawa haya hata Barani Afrika...
Kwa full Article:
=========
Cocaine smuggling submarine reveals Europe's drug crisis
I'm about to climb into...
Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya
'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana tutakaokuwa tumewaokoa tangu tutangaze hii vita ni wengi watajibu siku moja kwa ajili ya faida ya Tanzania...
Clouds TV jana iliita muuza madawa ya kulevya anaeitwa Jack Cliff kuja kujitetea jinsi alivyokamatwa na madawa ya kulevya.
Taarifa za uhakika zinaonyesha kua mamlaka nchini China/Macau zilimkamata Jack akiwa na madawa ya kuelvya aina ya Heroine kilo 1.1 mwilini mwake na kupelekea kufungwa...
Ushoga dili,kumbe wengine washafirishaji wa madawa ya kulevya sikia hii.
Leo ni siku nyingine tena katika chanel hii hapa unapata elimu na BURUDANI kwa kina kabisa.
Tuanze na habari kuhusu ushoga.
Ushoga ni nini? Ushonga ni hali ya kutamaniana we mwenyew angali wote. Mko na jinsia moja
MWANAUME...
CHADEMA leo imeanza mikutano yake ya hadhara jijini Mwanza. Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kuzungumza ni Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu ameomba mwenyekiti wa chama hiko apeleke hoja kwa Mhe. Rais Samia Suluhu kuwa waliokamata kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru...
(Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi.
==========================
Utakatishaji pesa ni nini...
Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano...
Inasikitisha kuwa vijana hawajifunzi kila siku kupelekea kurudia makosa hayo hayo.
Imekuwa mtindo sasa vijana kuwekwa rehani kwa suppliers wa madawa ya kulevya Pakistan na Iran na 'matajiri' kuchukua mzigo kwa mali kauli.
Mwisho wa siku waliowekwa rehani wanatalekezwa, waliochukua mali maisha...
Madawa ya kulevya ni nini, kitaalam, na je, pombe inaangukia katika kundi hilo la madawa ya kulevya? If not, why?! Ukizingatia ongezeko la ‘GABA’ mwilini?
1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali.
2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona...
Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine.
Sambamba na boss wa Cambiaso
================
Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali.
Kuna habari kwamba kocha wa makipa wa timu kubwa hapa nchi amekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.