Kumea kwa vituo vingi vya mafuta ni kwa ajili ya kutakatisha fedha zinazotokana na dawa za kulevya na ufisadi wa fedha za umma

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,272
23,046
1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali.

2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona miradi bubu ya wazalendo na miradi bubu ya wawekezaji. Upigaji na sintofahamu ya mabehewa ya train ya SGR. Anuani za makazi na kuzunguka nchi kwa helcopter, matatizo ya umeme na uuzaji majenereta mengi yaliyoingizwa nchini, safari zisizo na tija n.k.

3. Imepelekea kuanzishwa vituo vingi vya mafuta ya gari ambavyo vinatumika kutakatisha pesa hizo haramu na pia kusababisha bei ya mafuta ya gari kupanda kwa kuongezewa kodi na tozo lukuki tofauti na soko la ukweli.

Tunakoelekea ni kubaya zaidi.
 
Asee kati ya dar na chalinze vituo vya mafuta vinaota kama uyoga.
wengi wanaoanzisha hivyo vituo ni dealers wa madawa ya kulevya na wamejificha kwenye hiyo biashara.serikali bado ipo aidha gizani au inajua kabisa nn kinaendelea kwenye biashara ya mafuta.wengi walioko kwenye hiyo biashara ni wanasiasa na wamejificha huko ndo maana hata kwenye hizo chaguzi za ccm wamepenya wengi ili wasijulikane.
 
Mbona hivi vituo vimeanza kuota wakati wa Magufuli au wenzetu mmeamua kujitoa ufahamu? We need to think beyond.. ni vzr tungepata taarifa za ndani sio hizi blah blah mnazokuja nazo
 
1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali.

2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona miradi bubu ya wazalendo na miradi bubu ya wawekezaji. Upigaji na sintofahamu ya mabehewa ya train ya SGR. Anuani za makazi na kuzunguka nchi kwa helcopter, matatizo ya umeme na uuzaji majenereta mengi yaliyoingizwa nchini, safari zisizo na tija n.k.

3. Imepelekea kuanzishwa vituo vingi vya mafuta ya gari ambavyo vinatumika kutakatisha pesa hizo haramu na pia kusababisha bei ya mafuta ya gari kupanda kwa kuongezewa kodi na tozo lukuki tofauti na soko la ukweli.

Tunakoelekea ni kubaya zaidi.
And vice versa is true!!
 
Kwani we hutaki watu wawekeze ili vijana kwa miaka mitano ya jpm bila ajira nao wapate ajira? Aise huu wivu ni wa kiwango Cha juu sana
 
1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali.

2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona miradi bubu ya wazalendo na miradi bubu ya wawekezaji. Upigaji na sintofahamu ya mabehewa ya train ya SGR. Anuani za makazi na kuzunguka nchi kwa helcopter, matatizo ya umeme na uuzaji majenereta mengi yaliyoingizwa nchini, safari zisizo na tija n.k.

3. Imepelekea kuanzishwa vituo vingi vya mafuta ya gari ambavyo vinatumika kutakatisha pesa hizo haramu na pia kusababisha bei ya mafuta ya gari kupanda kwa kuongezewa kodi na tozo lukuki tofauti na soko la ukweli.

Tunakoelekea ni kubaya zaidi.
Snitch
 
Ushahama kwa shemeji?

Hhhhhhhhh
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom