madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania CCM ng'ang'anieni madaraka kama KANU muue chama

    CCM mna option 1 ya kuhakikisha chama hakifi. Kubalini kushindwa ili mkajipange upya na kwa uhakika haitawachukua muda mrefu mtarudi kwenye hatamu za nchi hii. Asiyekubali kushindwa si mshindani na kushindwa si kufeli. Ama laa, ng'ang'anieni madaraka muue chama kama KANU ya Kenya. Ukweli...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Hatutaki watu wanaochochea fujo ndani ya nchi kwasababu tu wanatafuta madaraka

    WAZIRI Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu, Frederick Sumaye, ameibuka na kuitaka serikali na vyama vya siasa kuchukua hatua dhidi ya wagombea ambao wanatoa kauli zinazohatarisha kuvunjika kwa amani. Pia amesema ushindani wa vyama na wagombea upo japo si mkali sana kulinganisha na uchaguzi uliopita...
  3. Mag3

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ni upi hasa unyeti wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Kwa ukumbusho tu: Tuanze kwa kukiri kwamba zilizoungana zilikuwa ni nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Tukiri pia kuwa wakati zinaungana tulikuwa na vyama tawala viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP) Pia tukumbushane kwamba wakati zinaungana 1964 bado tulikuwa katika mfumo wa vyama vingi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

    Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa. Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa ubabaishaji huu wa CHADEMA hawapaswi kupewa madaraka

    KWA UBABAISHAJI HUU WA CHADEMA HAWAPASWI KUPEWA MADARAKA Ndani ya CHADEMA kumekuwa na malalamiko na madukuduku ya muda mrefu sana ya wanachama na viongozi mbalimbali kuhusu namna mambo mbalimbali yanavyoendeshwa ndani ya Chama hicho. Mpaka sasa kumekuwa na giza zito la hofu baada ya Chama hicho...
  7. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

    Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo. Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na...
  8. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Madaraka ni koti

    MADARAKA NI KOTI Madaraka ni koti ambalo mtu hulivaa au kuvalishwa na watu wakati fulani na koti hili haliwezi kudumu mwilini kwa aliyepewa madaraka hayo. Mathalani huwezi kuoga huku umevaa koti, huwezi kulala na koti na kama una akili timamu huwezi kukaa kwenye jua kali huku umevaa koti...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

    Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao. Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

    Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

    Wakuu asalaam. Binafsi naamini siasa ni sayansi na wanasiasa ni lazima wawe wanaweza kuimonitor na kuiishi sayansi hii ya siasa. Ili MTU yoyote aweze kuungoza umma wa watanzania ni vyema akawa amesoma na kuhitimu angalau taaluma zifuatazo 1. Sheria Hii ni kwa maana kuwa sheria ndo nguzo kuu ya...
  12. abdulkarim harub mzee

    JamiiForums Tanzania Vita ya Al Shabaab na Ahlul Sunna Wal Jamaa, dhana ya Ugaidi na ulafi wa Madaraka uliojificha chini ya kivuli cha Uislam

    CHIMBUKO LA AL SHABAAB, VITA YA AL SHABAAB VS AHLUL SUNNA WAL JAMAA NA DHANA YA UGAIDI CHINI YA KIVULI CHA UISLAM Naam Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakat, Katika nakala na machapisho yaliyopita nlieeleza kwa uchache dalili za kuenea kwa Ugaidi nchini Tanzania. Na pia kuna baadhi ya...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Wajumbe hawana makosa, ni makosa ya waliowapa madaraka

    Kuna lawama nyingi kwa wajumbe juu ya maamuzi yao. Binafsi nawasamehe. Angalia nafasi wanazopewa kwa miaka mitano; Bila mshahara, bila ofisi, ghafla paa! Katibu anatangaza eti watia niya watapigiwa kura na wajumbe. Hao watia niya, mmojawapo ni mbunge aliyepewa mshiko wa milioni 250. Kwa miaka...
  14. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

    Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982). Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
  16. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wasiwe na uchu wa madaraka kwa kutaka kila mmoja kugombea kwenye Uchaguzi

    Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

    Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu. Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza. Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uchu wa madaraka na ubinafsi unatukwamisha

    Heshima kwenu WAKUU, Poleni na Hongereni kwa mchaka mchaka wa maisha. Kume kuwa na wimbi kubwa la viongozi,,wenye nyadhifa kubwa kuacha nyadhifa zao na kugombea Nafasi ya UBUNGE kila unapofika uchaguzi Mkuu. Hasa wakuu wa Mikoa na wilaya. Naam na ukiwasikiliza wengi wanajinasibu kua wanataka...
  20. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
Back
Top Bottom