madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu vumilia, ''bado hujakomaa'', endelea kukitumikia chama achana na madaraka

    Ndugu zangu, Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini kinafuata. Zengwe lile lile lililowapata Zitto na Dr.Slaa ndilo linamwandama Tundu Lissu ambaye kwa...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ametangaza kuwania nafasi ya ubunge wa Butiama

    Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara. Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu...
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania Rais wakate Kangi Lugola, Kessy na Ndugai kwa udhaifu wa kukufanya mpenda madaraka wakati Urais ni mzigo unahitaji kupumzika

    Wana Jf Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi. Sasa...
  4. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaraka Day: Kenya yasheherekea miaka 57 ya Utawala, maadhimisho yatarushwa kupitia mtandao kutokana na janga la Corona

    Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tukipaswa kuandaa kizazi cha kurithi madaraka, Kwa bahati mbaya Madaraka yakakirithi kizazi

    Tumetegemea sana vijana na wakaimu kuyarithi madaraka kwa kufuata taratibu na sheria zote, Je wanaotegemewa wanaweza kazi za mabosi wao? Kwa bahati isiyo nzuri Madaraka yenyewe ndo yanawaendesha wanaorithi, Tukichagua msaidizi tuwe sure kwamba ataweza kusimamia Majukumu sawa na boss wake kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Mbowe anachanganya kwa pamoja madaraka ya KUB na Mwenyekiti wa Chadema na matokeo yake ni kutenda Uonezi!

    Kuna wakati Zitto akiwa Chadema aliwaeleza madhara ya kuweka kanuni inayomfanya mwenyekiti wa Chadema kuwa KUB iwapo ni mbunge na chama kimepata ridhaa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani. Madhara yake ndio haya tunayoyashuhudia sasa. Binafsi sikumbuki kama kuna kikao halali iwe halmashauri kuu...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

    Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC. Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe...
  8. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mpya Tanzania ni wa madaraka?

    Kwa sasa kelele zimekuwa nyingi sana nchini. Hapo kabla kelele nyingi za ufisadi wa kifedha na mali ulipigiwa sana kelele. Sasa sijui ule ulimalizwa au umezidiwa kelele na huu ufisadi mpya wa madaraka ambao unawza pia kuitwa ulevi wa madaraka? Ni nini hasa kinaendelea maana kelele zimekuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameweka rekodi ambayo itawagharimu katika harakati za kutaka Madaraka ya nchii hii

    Ni Sasa CHADEMA wameshafanya makosa makubwa ambayo yatawapa taabu sana huko mbeleni historia haitawaacha Salama. Dunia Sasa iko kwenye vita kubwa ya covid19, hili ni tukio kubwa kihistoria vizazi na vizazi watajifunza hili Janga Kama ambavyo leo historia inazungumzia WW-I na WW-II au kuhusu...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Saudia: Wanaufalme wagombea madaraka, zaidi ya wanafamilia 20 wakamatwa kwa tuhuma za kutaka kumpindua mrithi wa ufalme

     Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya “Middle East Eye”, mara baada ya kukamatwa kwa Ahmed bin Abdulaziz (Prince Ahmed), kaka wa mfalme wa Saudia, mfalme Salman bin Abdulaziz, wanafamilia wengine 20 zaidi wa familia ya kifalme wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kupanga kumpindua mwanamfalme mrithi...
  11. digba sowey

    JamiiForums Tanzania For CHADEMA Followers: What comes around goes around

    Naomba niwasabahi wanachama wa jf,hamjambo? Naomba niende kwenye hoja yangu juu ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA,Naomba niweke kumbukumbu sawa, hakuna mwaka ambao chadema aliwahi kuvuna wanachama wengi toka CCM kama mwaka wa Mafuliko 2015, ambapo watu mashuhuri toka CCM walijiunga na CHADEMA...
  12. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

    INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio. Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

    Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki . Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa madaraka na uongozi wasababisha Bunge la Venezuela kuongozwa na maspika wawili

    Mpinzani wa rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, Juan Guaido, amechaguliwa tena Spika wa Bunge na wabunge wa upinzani saa chache baada ya mbunge mwingine wa upinzani, Luis Parra, kujitangaza kuwa spika wa bunge. Juan Guaido amechaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la venezuela katika...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Madai ya Rushwa za Ngono Yasitumike Kukandamiza Wengine

    Moderator naomba andiko langu lijitegemee, lisiunganishwe na nyuzi kadhaa zilizoandikwa humu kuhusiana na Rushwa za ngono kwa sababu maudhui yake ni tofauti kabisa. Hivi karibuni kumekuwa na taarifa nyingi zinazoandikwa kuhusiana na rushwa za ngono au manyanyaso ya kingono yanayofanywa zaidi na...
  16. Interest

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amepinga mpango wa Serikali wa kuwapangia vituo vya kazi moja kwa moja walimu wanaoajiriwa, akihoji ni kwanini inapoka madaraka ya Halmashauri. Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 23, 2017 ikiwa ni siku moja baada Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Back
Top Bottom