madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

    Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe. Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
  2. M

    GE2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

    Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu. Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za...
  3. Kabende Msakila

    GE2020 NEC Tanzania isiingiliwe, lakini isiingilie madaraka ya vyama

    WanaJf, Salaam! Naona tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imepewa meno makali ya kisheria ili kuleta ufanisi ktk uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini 28 Oktoba 2020. Hata hivyo nashauri yafuatayo: Mosi, tume isifanye kazi kama kiranja badala yake iwe kama mzazi (siyo lazima kila jambo...
  4. Shark

    Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

    Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
  5. Sky Eclat

    Viongozi mfikirie kumbukumbu (legacy) mtakayoaichia jamii baada ya madaraka na vifo vyenu

    Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu wake mpaka mwisho wa madaraka yake. Kwa exposure ya Nyerere, aliweza kuangalia Cuba Fidel Castro...
  6. J

    Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  7. Sky Eclat

    Ukiwa kiongozi unaweza kuwa na nguvu na madaraka ya kunyamazisha watu, unapoona idadi ya wa kunyazishwa inazidi jiulize ni kwanini?

    Uongozi uko katika ngazi nyingi. Wengine walibahatika kuwa viranja shuleni, kapteni wa timu ya chandimu, kiongozi wa msafara, kiongozi wa jumuia ya kanisa nk. Katika nguvu na mamlaka ya kiongozi ni kuwaambia watu wanyamaze kelele zikisidi. Hii ni moja ya sifa ya kiongozi kuweza kulidhibiti...
  8. Rahma Salum

    GE2020 Madaraka na Wajibu wa Mbunge kwa mujibu wa Katiba

    Katiba ya Tanzania ya mwaka 1997, inaeleza majukumu ya mbunge kwa jimbo lake kama ifuatavyo:- (a) Kumuuliza Waziri yeyote swali lolote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake. (b) Kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila...
  9. B

    Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais

    Humphrey Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais kwa mujibu wa katiba iliyopo nchini Tanzania Rais amekuwa kama Mungu Mtu
  10. CHADEMA

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  11. Fantastic Beast

    CCM ng'ang'anieni madaraka kama KANU muue chama

    CCM mna option 1 ya kuhakikisha chama hakifi. Kubalini kushindwa ili mkajipange upya na kwa uhakika haitawachukua muda mrefu mtarudi kwenye hatamu za nchi hii. Asiyekubali kushindwa si mshindani na kushindwa si kufeli. Ama laa, ng'ang'anieni madaraka muue chama kama KANU ya Kenya. Ukweli...
  12. Miss Zomboko

    Sumaye: Hatutaki watu wanaochochea fujo ndani ya nchi kwasababu tu wanatafuta madaraka

    WAZIRI Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu, Frederick Sumaye, ameibuka na kuitaka serikali na vyama vya siasa kuchukua hatua dhidi ya wagombea ambao wanatoa kauli zinazohatarisha kuvunjika kwa amani. Pia amesema ushindani wa vyama na wagombea upo japo si mkali sana kulinganisha na uchaguzi uliopita...
  13. Mag3

    Tafakuri: Ni upi hasa unyeti wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Kwa ukumbusho tu: Tuanze kwa kukiri kwamba zilizoungana zilikuwa ni nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Tukiri pia kuwa wakati zinaungana tulikuwa na vyama tawala viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP) Pia tukumbushane kwamba wakati zinaungana 1964 bado tulikuwa katika mfumo wa vyama vingi...
  14. J

    Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
  15. Erythrocyte

    Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

    Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa. Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia...
  16. N

    GE2020 Kwa ubabaishaji huu wa CHADEMA hawapaswi kupewa madaraka

    KWA UBABAISHAJI HUU WA CHADEMA HAWAPASWI KUPEWA MADARAKA Ndani ya CHADEMA kumekuwa na malalamiko na madukuduku ya muda mrefu sana ya wanachama na viongozi mbalimbali kuhusu namna mambo mbalimbali yanavyoendeshwa ndani ya Chama hicho. Mpaka sasa kumekuwa na giza zito la hofu baada ya Chama hicho...
  17. V

    GE2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

    Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo. Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na...
  18. Johnson Alex Otieno

    Madaraka ni koti

    MADARAKA NI KOTI Madaraka ni koti ambalo mtu hulivaa au kuvalishwa na watu wakati fulani na koti hili haliwezi kudumu mwilini kwa aliyepewa madaraka hayo. Mathalani huwezi kuoga huku umevaa koti, huwezi kulala na koti na kama una akili timamu huwezi kukaa kwenye jua kali huku umevaa koti...
  19. Erythrocyte

    Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

    Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao. Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao...
  20. britanicca

    GE2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

    Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande...
Back
Top Bottom