madalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

    SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA." NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
  2. Kipenzi Changu

    Waandishi wa Habari waliotembelea bandari Dubai

    Na Bashir Yakub, WAKILI 1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI. Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio...
  3. Mapand

    Msaada: Anayeweza kuniunganisha na masoko ya mbao DSM bila dalali

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa. Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
  4. Suzy Elias

    Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

    '....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.' Bashiru - 12 Oct 2018
  5. Dr Matola PhD

    Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

    Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
  6. Contraband

    Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

    Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri. Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
  7. Kindokomile

    SoC02 Madalali wa vyumba kusimamiwa na Mwenyekiti wa Mtaa na shughuli zao kufanya kwa teknolojia kuondoa changamoto zinazowakumba wao na wateja wao

    MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU. Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
  8. Tsh

    Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  9. mwilawi

    Madalali wa pilipili mwendokasi

    Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
  10. Aliko Musa

    Huyu Ndiye Anayetakiwa Kumlipa Dalali Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo

    Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;- ✓ Wapangaji na wenye nyumba. ✓ Wauzaji na wanunuzi. ✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo. Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
  11. sky soldier

    Hali za kawaida kiuchumi kwa waganga wengi ni kwasababu wao ni madalali wa majini na wanaotaka fedha, hawataki balaa za pesa za majini

    FAHAMU MGANGA ANAKUPA UTAJIRI YEYE ANABAKI MASIKINI Sababu kubwa kuliko zote mganga anajua madhara ya pesa za masharti, kwahiyo hawezi kuhatarisha maisha yake na familia yake. Ukienda kwa mganga unataka utajiri atachofanya mganga anakuwa kama dalali wa kukuitia majini watakaokupa huo utajiri...
  12. M-FINANCE

    Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

    Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema 1. Kluger 2. Harrier 3. Murano 4. Dualis
  13. LIKUD

    Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

    Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao. Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo...
  14. beth

    Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
  15. 6321

    Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

    Nawasalimu kwa JMT Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+. Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
  16. JOHNGERVAS

    SoC01 Suluhisho kupunguza utapeli unaofanywa na madalali

    Salaam Wakuu. Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. NAMNA WANAVYOFANYA KAZI Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
  17. Babu Kijiwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  18. Matendo Andrew

    Madalali mnachelewesha biashara za watu

    Jamani nyinyi mnaojiita MADALALI naomba angalieni uwezekano wa kubadili jinsi ya ufanyaji kazi WENU, mnachelewesha Sana biashara kwasababu ya kuweka chajuu kikubwa na WAKATI mwingine mteja akifika Bei ya mwenye BIDHAA hamsababishi wauziane...nawaomba CHUKUENI Asante KUTOKA kwa muuzaji na mnunuzi...
  19. JituMirabaMinne

    Ushauri wangu kwa Madalali wa Magari

    Sijajua kama na tabia za madalali wa vitu vingine zipo hivi. Lakini nmewalenga sana madalali wa magari. 1. Lower your expectations. Huwa mnakuwa na matarajio makubwa sana mkishapata mteja. Mwisho wa siku biashara isipofanyika maneno yanakuwa mengi. 2. Uzima wa gari siyo muonekano. Uzima wa...
  20. M

    Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
Back
Top Bottom