Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."

NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
 
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru amesema madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA.
Madalali wa wali ya umma wanaleta hoja za udini, ukanda, vitisho...ili tu watu wakae kimya.
Hili la bandari limekuwa tofauti sana. Hizi mbinu zao zimegonga mwamba
 
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru amesema madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA.

NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
Alipewa u KM wa chama akasema hata nafasi nyingine yoyote maana hiyo ni kubwa mno, mwenzake akamrushia u KMK
 
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru amesema madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA.

NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
leo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?

Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.

Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
 
🤣🤣 Ametema bungo
 
Yaani wewe kajamba nani umtishe Bashiru?!
 
leo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?

Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.

Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
Nadhani alirudisha

Heri Nusu Shari kuliko Shari kamili, hali ni tete Watanganyika wamevurugwa!
 
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."

NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
Enzi zake akiwa KM si ndo walitumia fedha nyingi za umma kwa biashara ya binadamu a.k.a kununua wapinzani?
 
🤣🤣 Ametema bungo
Dah, nshomile alijifanya anajuwa kuliko watoto wa Arusha mjini, kina Kinana.

Aisee, yule alibugi kwelikweli, bora angecheza na watoto wa Dar. kacheza na kijana wa zamani wa pangani?

Huo mtaa wa pangani wa Arusha, kina AM wanapiga magoti kwa vijana wa pale.

Maana pale kuna mchanganyiko maalum, Wasomali, Waarabu, Wahindi, Wamasai, Wachaga, Wameru, mabulushiimagine mchanganyiko huo wa damu, inakuwaje hatari yake?

Mwendazake, Bashiru,msiba, bashite, polepole walicheza na namba mbaya sana.

Ile troop ya kijeshi ya CCM waliyocheza nyo, alibugi sana.

Hivi jamani kuna mwendawazimu asiyelijuwa jeshi la Tanzania lilivyo?

Huku Kikwete, kule Kinana, pale Makamba. Dah. Hap wote jamani wametokea jeshini, hawakuwepo CCM kwa bahati mbaya.

Ni heri ya polepole aliona mbali akaenda kuwaangukia wazee mapema.

Wengine hao nakwambia hutowaona kabisa, huyo Bashiru 99% katemeshwa kama alivyotemeshwa Bashite, na Bashite tena anachelewa instalment ya pili. Ataipata.
 
leo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?

Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.

Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
Sijui uko upande gani kipindi cha magu ulikuwa ukisema wasafi hawa leo .mama tena msafi kifupi ww uko na serikali hata ikiamua iwe ya mashoga
 
Back
Top Bottom