madalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  2. Yoda

    Madalali wa nyumba wanaharibu biashara ya kukodi na kuuza nyumba na viwanja (real estate)

    Angalia utofauti wa bei wa nyumba moja kati ya madalali wawili tofauti, huu ni wendawazimu.
  3. Jaji Mfawidhi

    Madalali Wakamatika, sasa kujiandikisha, Bado wanawapiga bao mawakili!

    Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika. Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa magumu kila siku yaani ni kero kwa kifupi. Hawana huruma hata kidogo, imagine nyumba inauzwa milioni...
  4. Mad Max

    Madalali wa magari wanazingua sio kidogo

    Tuachane na BMW kuuzwa cheap kuliko IST, tuongelee huyu Dalali wnavyoiita hii 3 Series. Si angesoma ata nyuma tu hapo.
  5. P

    KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

    Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani. Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari. Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara...
  6. Azniv Protingas

    Madalali TRA ni wafanyakazi wa TRA au vipi?

    Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini? Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya udereva, akaniambia njoo nikusaidie. Tukaingia ndani akaniambia una tin number nikamjibu ninayo...
  7. Mr mutuu

    Madalali wa bongo mna matatizo gani lakini?

    Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu "Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu" "Gari ya mdada" "Gari ya baba mchugaji hii" "Gari ya mrembo wa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
  9. sangaima

    Tenda kwa madalali wa uuzaji wa maeneo na nyumba

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  10. Heisenberg

    KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

    Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana. Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa wanakuvuta huku mara kule yaani wamekua kero sana. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi. Pia...
  11. S

    INAUZWA Mashine kusaga juis ya miwa model YF L80

    Mashine n mpya Npe 1.4M Kujieleza 📞📞07
  12. Kijana LOGICS

    Muda mwingine madalali wanaharibu kila kitu yaan wanafanya mambo kuwa magumu

    Madalali hawa jamaa Kuna muda wanataka kuvuna wasikopanda. Ni aibu Kua n'a utitiri WA madalali wAnaume wanaosubiri hela ya mahasla mtaani. Kila MTU apigike kupata pesa dunia ya Leo hakuna Cha mngema . Léo ukitafuta fremu ya biashara hupati kwa sababu zmezuiliwa na madalali uchwara. Dalali...
  13. Mjanja M1

    Madalali mnawaumiza Wapangaji

    Habari zenu, Kuna jamaa mmoja amemwambia Dalali kuwa anapangisha Nyumba yake kwa 150,000 kwa mwezi, dalali alivyokuwa na tamaa akamwambia jamaa kuwa atamleta mpangaji kwa kodi ya 250,000. Nyumba imepata mpangaji na Dalali kalamba 250,000 yake ya mwezi mmoja. BAADHI YA MADALALI ACHENI TAMAA...
  14. O

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
  15. Jaji Mfawidhi

    Madalali chanzo cha maisha magumu na sio CCM

    Dalali ni nani? Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mbili...
  16. Influenza

    Je, Serikali imeamua kulea utapeli wa Madalali? Dhima ya kuwasajili iliishia wapi?

    Utapeli kwa katika ununuzi wa vitu au upangishaji wa nyuma unazidi mno kwa kipindi hiki hususan katika upangishaji wa nyumba, imefikia hatua Dalali anakuwa na Mwenye Nyumba wa mchongo na akaunti ya benki ya kitapeli kulipia pango. Serikali hebu saidia Wananchi katika hili. Nakumbuka Lukuvi...
  17. P

    Leo nimenusurika kutapeliwa na madalali wawili tofauti, kuweni makini!

    Wakuu salama, niwape story kwa yaliyonikuta leo inaweza kumsaidia mtu. Katika harakati za kutafuta nyumba maeneo ya Mbezi Beach nikakutana na madalali wawili kwa nyakati tofauti maeneo ya Makonde. Dalali mmoja akawa amenionesha nyumba stand alone ya vyumba 3 kwa kodi ya 500k kwa mwezi upande wa...
  18. K

    Migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na Madiwani na Wenyeviti wa mitaa

    Ni usiku mwema kwa wote wana jf, Nimeona ni jambo jema na la kufanyiwa kazi hasa kwa Wizara ya ardhi. Ili kuepusha migogoro na malumbano yasio na tija kwa eneo husika hasa wananchi kwenye swala la ardhi ni vyema hawa viongozi wetu tajwa hapo juu wachaguliwe kulingana na tabia nzuri zisizo na...
  19. V

    Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  20. Logikos

    Nahitaji kuwa na vigezo gani ili niwe Dalali?

    Nauliza ni qualities/ujuzi upi unafaa sana ili uweze kuwa dalali? Nimeona kwa sasa ndio kazi kubwa inayofanyika hata wale Watunga Sera tuliowachagua warekebishe mambo na kuweka vitu sawa ili tupate ajira zenye ujira wamekuwa ni madalali (Wao hawafanyi bali kutafuta mtu wa kufanya) Kwahio...
Back
Top Bottom