machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia, Mchumi aliyehitajika kukinusuru kilimo na kuwafuta machozi wakulima

    Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa ketu ambapo kilimo pekee kimeweza kutoa ajira kwa 70%. Kilimo ni biashara kwa sababu mkulima anaweza kuuza mazao anayolima kibiashara na kumtengenezea kipato. Na zaidi kilimo kinachangia 27% katika Pato la taifa. Kwa kipindi kirefu kilimo kimeshindwa kwa namna...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

    Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭 Tazama hiyo ni nchi ya Qatar Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220. Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli...
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

    Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira. Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

    Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa.. Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson Tears as first Kyiv train arrives in freed...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Shafih Dauda yuko Angola na Simba S.C, nimetokwa machozi

    Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu. Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

    Endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Machozi yako yananiliza

    Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera nyingi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yake. Baba alipongezwa kwa kupata dume, dume...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka single movie ya kunitoa machozi

    Yaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
  9. ward41

    JamiiForums Tanzania Du, Kiduku katoa machozi

    Mikwala kibao kumbe yakuwakuta nao hutoa MACHOZI. Tuache ubabe, Dunia ni mapito
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watu wazima 25+: Ukiachana na kufiwa, ni TUKIO gani kubwa liliwahi kukutoa machozi hadharani 😭

  11. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  12. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

    Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake. Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

    Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

    Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo . Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

    Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake. "Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua"...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Khartoum, Sudan: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji

    Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani. Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Machozi hunitiririka nikiwatazama binti zangu

    ninawazia sana wanangu wa kike. Je niwalee kwa misingi ipi. Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha? Nitaweza? Nitawezaje? Inamaana nikishindwa na wanangu wataomba pesa kwa wanaume kumi Vipi hao kumi wote wakimwambia akafuate Inamaana mwanangu ataliwa na wanaume kumi? Nifanyaje? Betty...
  19. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Vurumai, Mabomu ya machozi vya rindima Singida kufuatia ajali iliondoa uhai wa mwanafunzi

    Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki. Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Walichomfanyia jamaa yangu. Anatokwa na machozi kila anapokumbuka

    Jamaa yangu tupo naye kazini kitambo sana. Si haba vijicent vipo. Shida kubwa ya jamaa ni ubabe na unyanyasaji sababu ya vijicent. Huwa namwambia asiwe na lugha za kibabe, dharau na unyanyasaji kwa watu wa kipato cha chini. Haelewi. Anajenga nyumba. Ashafukuza sana mafundi bila kuwalipa na...
Back
Top Bottom