Mishahara ilikuwa mchakato. Ama tumuombe bakhresa au tuchukue mkopo bank.Enzi za kikwete mishahara ilikua hadi tarehe 40 huko
Sio kweliEnzi za kikwete mishahara ilikua hadi tarehe 40 huko
Sio kweli, tuache kupaka Watu matope, Yaani aongeze mishahara Kila mwaka Kisha ashindwe kuilipa?Mishahara ilikuwa mchakato. Ama tumuombe bakhresa au tuchukue mkopo bank.
Ndio taktaka gani hizo?RIP Ben Sanane, Azory,
Nilishakupa ushauriMagufuli alikuwa mbobevu wa uongo. Dar - Bukoba ndege 2m? Lini hiyo? Halafu kipindi chake ikawa 200k?
Lini wakati wa kikwete mishahara ilichelewa? Halafu anaongea as if pesa ni zake.