Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo.
Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM.
Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
Wakuu kumekua hali ya kawaida katika Nchi zote Duniani inapokaribia mwaka wa uchaguzi huwa na fukuto na joto la vyama na Wanasiasa kujiandaa kwajili ya uchaguzi husika hii tumekua tukisikia kila Kona ya Dunia Watu kushutumiana, kuchafuana, kuwekeana vikwazo na wakati mwingine hata kudhuriana...
Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi.
Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary...
Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.
1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7...
Nani atasikiliza sauti zao, watoto hawa wanaolia.
Nani atawafuta machozi yao yanayo sombwa na Maji.
Nani atayaona machozi yao ikiwa watabaki kulia ndani kwa ndani.
Chaliko ninawasilisha kilio chao na kupaza sauti zao ili Mamlaka zinazohusika zisikie Changamoto wanazopitia Wanafunzi hawa...
Machozi ya waitara,ubabe wa
Julius Marwa
Tarime - Mara
Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali busara za mama zinahitajika haraka
Labda niwakumbushe kidogo watanzania wenzangu eneo hili lenye...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti.
Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?
===
Nape akiwa Clouds FM amesema
"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa ketu ambapo kilimo pekee kimeweza kutoa ajira kwa 70%. Kilimo ni biashara kwa sababu mkulima anaweza kuuza mazao anayolima kibiashara na kumtengenezea kipato. Na zaidi kilimo kinachangia 27% katika Pato la taifa.
Kwa kipindi kirefu kilimo kimeshindwa kwa namna...
Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭
Tazama hiyo ni nchi ya Qatar
Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220.
Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli...
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.
Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa..
Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson
Tears as first Kyiv train arrives in freed...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.