machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Mzee atoa machozi baada ya kumuona Lissu aliyepigwa risasi 16 akiwa hai

    Leo Singida.
  2. J

    Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
  3. Mbepo yamba

    GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  4. S

    Geuza machozi yako kuwa kura hapo Oktoba 28

    Ewe uliyeteswa, kusononeshwa na kuonewa, una fursa ya kuonesha hasira zako. Huna pengine pa kusemea, sio kwenye media ama popote maana maoni yako hayatakuwa published. Una njia moja tu ya kuitendea haki nafsi yako, nayo ni kupiga kura ya machozi hapo October 28. Ashinde asishinde wewe...
  5. Wakusoma 12

    Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

    A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na za ulimwengu wake! Hakika Mungu yupo. #Ni yeye 2020
  6. Replica

    GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  7. U

    Paul Makonda: Ahsante Mungu katikati ya machozi umenipa mapacha wawili!

    KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA: Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja. Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru...
  8. M

    GE2020 Watanzania wenzangu, Membe amekuja na leso ya kupangusa machozi yetu, tusifanye tena makosa tukajilaumu

    Kwa kweli kama kuna siku nimefarijika ni jana tarehe 16 July 2020. Hii ni siku ya historia kubwa kwetu sisi wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania. Nimefurahi kuona kuwa katika usiku wa giza totoro la ukosefu wa matumaini ya watu wetu, na shimo refu la kuzikia haki za watu wetu kumbe bado Taifa...
  9. Nkundwe Sr

    GE2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

    Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe. Mbunge na Naibu Spika Dkt Tulia kachukua fomu ya kugombea Ubunge wa Mbeya 2020-2025 kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11. Hatimaye aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Mbunge wa...
  10. Bess

    Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

    Nitoe mifano kadhaa kabla sijaigusa Tz Kutokana na takwimu za mamlaka South Africa, zaidi ya asilimia 80 ni blacks, na asilimia 8 tu ni jamii ya wazungu. Kutokana na vyanzo vya serikali, zaidi ya asilimia 72 ya mashamba makubwa ya biashara yanamilikiwa na wazungu na ni asilimia 4 pekee...
  11. Hashpower7113

    Love story: Tears of the soul (machozi ya rohoni)

    TEARS OF THE SOUL (MACHOZI YA ROHONI)- 1 Mtunzi: Aziz Hashim (Hash Power) NB: UNAWEZA KUIPATA SIMULIZI HII TAMU KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO KWA MFUMO WA e-Book (PDF) UTAKAYOISOMA KWENYE SIMU YAKO KWA SH. 5000/= TU NICHEKI WHATSAPP 0719401968! “Mke wangu!” “Abee mume wangu!” “Jiandae leo...
  12. painboy

    Bango la machozi machafu

    USIJILAUMU KWA JAMBO AMBALO HAUWEZI KUBADILI MATOKEO YAKE. Maisha ni safari ndefu,na katikati ya safari mwanadamu anafanya makosa mengi sana kupitia mawazo yake,meneno ya kinywa chake na hata matendo mabaya tunayowatendea wengine. Ili maisha yawe na maana jambo la kwanza ni lazima uwe na moyo...
Back
Top Bottom