machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  2. Magical power

    Bwana yawezekana kupitia machozi haya kesho yangu haitakuwa hivi tena

    BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema hii🙏 Bwana yawezekana maisha ninayoishi leo au mapito ninayopitia nimesababishiwa na mtu au ni...
  3. P

    Jicho kutoa machozi

    Habari zenu, Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi, naombenmsaada kwa anayejua ni shida gani na kama kuna tiba ni hipi? Natanguliza shukrani
  4. O

    Mzee atoa machozi kisa mke wake. Watoto acheni ubaguzi badilikeni.

    Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
  5. Abraham Lincolnn

    Namna ya kukabiliana na mabomu ya kutoa machozi

    Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye hewa safi haraka iwezekanavyo Osha uso wako kwa kutumia maji ya baridi. Pia, unaweza kutumia...
  6. J

    Luis Suarez amwaga machozi akistaafu Uruguary

    Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Akizungumza huku akitokwa na macho katika wakati wa mkutano na wandishi wa habari mjini Montevideo, Uruguay, Suarez mwenye umri wa miaka 37 amethibisha kwamba mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia wa nchi yake dhidi ya...
  7. G

    PreGE2025 CCM kulikoni? Wanagawa kadi za chama chao kama njugu mitaani!

    Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM. Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita...
  8. L

    Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
  9. L

    Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  10. JanguKamaJangu

    Dada wa Barack Obama ashiriki katika Maandamano, arushiwa mabomu ya machozi

    Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha. Akizungumzia Maandamano hayo ya kupinga Muswada wa Fedha 2024...
  11. Jidu La Mabambasi

    Serikali inavyowawezesha Wachina, halafu inalia machozi ya mamba!

    Serikali yetu tukufu imejaa wanafiki wa kupindukia. Inalia machozi ya mamba na watanzania huku nyuma wakila kwa urefu wa kamba zao na wachina. Nimefuma hiyo hapo juu mahali fulani ili wabunge wetu, wananchi na hasa viongozi wajue wanavyoliangamiza Taifa badala ya kuwaendeleza Watanzania. Just...
  12. haszu

    Wanaume msiogope kulia, msibanie machozi

    Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana...
  13. N

    SoC04 Machozi yake nani anayajali?

    Mtoto huyu, aliye katika jamii kwa sasa hajui nani amwamini nani asimwamini,mtoto huyu hana pa kukimbilia, si baba,si mjomba, si kaka, si babu, sio mwalimu, si kiongozi wa dini, sio binamu, mtoto huyu anateseka, mtoto huyu wa tanzania hana pa kushika,hakuna anayemtetea kwa dhati, mtoto wa...
  14. S

    Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

    Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu. Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha. Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani...
  15. I

    Nipeni ushauri machozi ya shemeji yamenikosesha amani

    Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa kama mwaka mmoja. Ila yeye alitangulia kuoa, so nikawa nampa heshima zake. Mwaka huo huo mimi nikaoa...
  16. HONEST HATIBU

    SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
  17. Lancashire

    Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

    Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua. Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
  18. B

    Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
  20. chiembe

    Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani? Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje? Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium)...
Back
Top Bottom