Msafara wa Raila Odinga wapigwa Mabomu ya Machozi akiongoza Maandamano

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1688734315529.png
Maandamano hayo ni wito wa Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Muungano wa Azimio kuelekea Jijini Nairobi yakiwa na lengo la kupinga gharama kubwa za maisha na Utawala wa Rais Ruto.

Pia, Raila Odinga ameanzisha kampeni ya kukusanya Saini Milioni 10 za wananchi ili kupata uungwaji mkono wa kuishinikiza Serikali kushusha gharama ya bidhaa za muhimu ikiwemo Mafuta yaliyopanda kutoka 8% hadi 16%.

Leo Julai 7, 2023 Muungano wa Azimio umeitisha maandamano Nchi nzima ambapo tayari maeneo ya Mombasa, Kisumu, Kisii na Meru kumetokea vurugu kati ya Waandamanaji na Polisi.

==========
Kenya police fired teargas at the motorcade of opposition leader Raila Odinga as he led his supporters to central business district of the capital, Nairobi, to protest against the high cost of living.

Mr Odinga had previously addressed his supporters at the historic Kamukunji grounds in the city, where he launched a campaign to gather signatures in support of his efforts to pressure the government into lowering the prices of essential goods such as petrol.

The opposition is aiming to collect 10 million signatures within a week.

"We've had enough talk. It's time for action," Mr Odinga declared to his supporters.

Earlier, protests erupted in Mombasa, Kisumu, Kisii, and Meru, resulting in clashes between demonstrators and the police.

Several individuals, including a former county governor, were arrested for their involvement in the demonstrations.

The protests were triggered by President William Ruto signing controversial tax measures into law, which had been approved by MPs two weeks earlier.

Among the new measures was an nicrease in the value-added tax on fuel products from 8% to 16%.

BBC
 
Wapelekewe kikosi kinachiwatishia wanasheria wetu juu ya swala la DP W.
kuwatumia humu ni matumizi mabaya ya raslimali za nchi
 
waazime jeshi letuu huu ujinga utaisha ws maandamano
 
Back
Top Bottom