Machimbo ya Kulangua Bidhaa za Kuuza Stationery

Machimbo ya Kulangua Bidhaa za Kuuza Stationery

Whitney Houston

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
242
Reaction score
452
Habari za weekend wanajamvi.

Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar.
Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa bei rafiki ya chimbo.

Bidhaa kama madaftari,counter book,gundi,marker pen,ribon za mapambo kwenye sherehe,pini,card,stepler,pen,pensel,bahaha,jaradio,mataji,karatasi(Rimaina zote double A n.k) n.k

Pia naombeni mnitajie printer nzuri ya 3 in one,ambayo inaprint document za rangi na black and white. bajet yangu ktk printer ni laki nne.

Shukran.
 
Asante,kariakoo yote ni chimbo la stationery?na huko somali nikimtajia tu mwenyeji wangu somali tukafika hapo ni somali yote chimbo au somali ni jina la duka?sijakuelewa vizuri
Huo ni mtaa maduka yapo mengi awe makini tu na mawinga ili apate bei rahisi itakayokupa faida wewe
 
Back
Top Bottom