machimbo

The cavaquinho (pronounced [kɐvɐˈkiɲu] in Portuguese) is a small Portuguese string instrument in the European guitar family, with four wire or gut strings.
More broadly, cavaquinho is the name of a four-stringed subdivision of the lute family of instruments.
A cavaquinho player is called a cavaquista.

View More On Wikipedia.org
  1. laurentie

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner kwenye machimbo (Lugoba)

    Habari wadau natafuta mwekezaji mwenza kwenye machimbo ya magnecite Lugoba. Nina machine zote za uchimbaji, nahitaji mtu atakae wekeza kwenye mafuta na kulipia gharama za opereta wa machine tu, na kununua vilipuzi na chakula cha mgodini tu kuna kazi nilishafanya mwanzo inahitaji kumalizia tu...
  2. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko, kuwafukuza wana Chunya kwenye eneo lao la machimbo ni unafiki

    Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo! Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao waliokuwa wanachimba eti walimdanganya rais. Wewe kama msaidizi wa rais, iweje ukubali bosi wako...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  4. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  5. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
  7. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

    Habari za Jumapili wakuu! Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu. Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu. Nimekuwa mteja wa makampuni haya kwa muda sasa na kiukweli yanasaidia sana hasa unapokuwa na emergency. Miongoni mwa...
Back
Top Bottom