machafuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Bila tahadhari huu mkanganyiko kuhusu Muungano wetu unaweza kuwa kichocheo cha machafuko

    Kabla ya Muungano mwaka 1964, kulikuwa na nchi mbili zilizojulikana kama Jamhuri ya Tanganyika ikiongozwa na Rais Julius K Nyerere na Jamhuri ya Zanzibar ikiongozwa na Rais Abeid A. Karume, Chama kilichounda serikali ya Tanganyika kilikuwa ni Tanganyika African National Union Party, TANU. Hivyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali haraka fungeni mipaka chakula kisiuzwe nje, machafuko na migogoro ya kivita viwape ari hiyo

    Wakuu, Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa. Nchi nyingi kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa...
  3. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa sheria hii ya Uchaguzi na tume hii ni wazi kwamba uchaguzi itakumbwa na machafuko

    𝗞𝘄𝗮 𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗵𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗻𝗶 𝘄𝗮𝘇𝗶 𝗸𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘂𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗺𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱 𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗺𝗯𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗮𝗳𝘂𝗸𝗼. Nimemaliza kusoma sheria namba 02 ya mwaka 2024 inayoanzisha muundo wa Tume ya Uchaguzi; na nimemaliza kusoma sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba 01 ya mwaka 2024...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaripoti mauaji ya Watu 170 waliochinjwa ndani ya wiki moja, Machafuko ya Kidini yakitajwa

    BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS. Taarifa iliyotolewa leo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali leo Machi 3, 2024 imeeleza kuwa mauaji hayo yaliyoanza...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yazima Intaneti kwa madai ya kuepusha Machafuko na Uchochezi

    SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu. Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Malasusa: Yeyote anayetamani kuleta machafuko katika nchi tumsihi na kumuombea ashindwe katika Jina la Yesu

    Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema; "Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Machafuko na wakimbizi vyaongezeka ndani ya Israel. Wananchi wasema hawaelewi elewi

    Mamia ya raia wa Israel wameendelea kuandamana karibu na makazi ya raisi wa nchi hiyo wakitaka vitu viwili.Kwanza ndugu zao waliotekwa warudishwe na Benjamin Netanyahu aondoke madarakani kwa kuitumbukiza nchi hiyo kwenye machafuko. Hayo yakitokea kumekuwa na ukimbizi mkubwa wa ndani ya nchi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina nchini Tanzania awashukuru wanaopaza sauti kulaani machafuko yanayoendelea

    BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watishia Kuifungia Twitter, Snapchat na Tiktok endapo zitatumika kuhamasisha Machafuko Mtandaoni

    Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya. Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

    Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World. Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa...
  12. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

    Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba. Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Iran: Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran yawasihi Raia wao kuepuka safari zisizo na lazima kwenda Ufaransa kufuatia machafuko yanayoendelea

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea. Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na serikali ya Ufaransa kujizuia kutumia mabavu kutuliza vurugu zinazoendelea na kuzingatia matakwa ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haya machafuko yaliyoko Ufaransa kama yangetokea China au Urusi mabeberu wangeshangilia sana, kama walivyoshangilia uasi wa Wagner

    Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17. Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa...
  15. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Masudi Kipanya akemewe kabla hajaleta machafuko kama Lars Vilks

    Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai machafuko ya M23 yatavuruga Uchaguzi Mkuu Congo

    JF SUMMARY Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo. Tume ya...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iran yaishutumu Marekani kuwa inachochea machafuko, ugaidi

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya Serikali ya Iran na kusababisha maandamano ambayo yanaendelea mpaka wakati huu. Raisi amesema...
  18. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Machafuko yazuka Iraq baada ya kiongozi wa Washia kutangaza kuachana na Siasa

    Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad. Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamia ya Watoto Haiti wahifadhiwa shuleni kukwepa machafuko ya wahalifu

    Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022. Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao. Vurugu hizo...
Back
Top Bottom