BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,377
- 8,121
BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS.
Taarifa iliyotolewa leo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali leo Machi 3, 2024 imeeleza kuwa mauaji hayo yaliyoanza Wiki iliyopita yalihusisha Watu 17 waliokutwa Kanisani na maeneo mengine ya mikusanyiko katika Vijiji hivyo.
Amesema tayari uchunguzi wa kina umeanza juu ya tukio hilo ambalo ni mwendelezo wa matukio ya Ukatili na Unyanyasaji unaotajwa kuhusisha masuala ya Kidini ambayo yamekuwa yakisababisha machafuko na vifo kwa zaidi ya miaka 10 ikiwemo Watu zaidi ya Milioni 2 kuyakimbia makazi.
=====
Around 170 people were "executed" in attacks on three villages in northern Burkina Faso a week ago, a regional prosecutor said in a statement seen on Sunday.
The attacks by unknown assailants were carried out on the villages of Komsilga, Nodin and Soro in the Yatenga province, the statement dated March 1 said, adding that an investigation had been launched.
The West African Sahel nation has been struggling to contain violent Islamist insurgencies linked to al Qaeda and Islamic State that have spread from neighbouring Mali over the past decade, killing thousands and displacing more than two million.