machafuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamia ya Watoto Haiti wahifadhiwa shuleni kukwepa machafuko ya wahalifu

    Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022. Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao. Vurugu hizo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Logically tu inaingia Akili utoke Kucheza Uingereza tena Newcastle United uje Machafuko Mafurilo FC ya Tanzania?

    Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo. Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022. Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 10,000 wakimbia makazi yao kisa machafuko Nchini Msumbiji

    Watu 7 wameuawa katika machafuko ambayo inaelezwa yanahusisha Wanamgambo katika eneo la Kaskazini mwa Msumbiji. Umoja wa Mataifa (UN) umesema watu 10,000 wamekimbia. Machafuko hayo yametokea eneo la Cabo Delgado lenye gesi ambako Wanamgambo hao walianzisha uasi tangu mwaka wa 2017 na tangu...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika kama Serikali ingeweka busara mbele na kuzuia matumizi ya nguvu kupita kiasi. Jaji Warioba alisema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akichangia mjadala katika kongamano la uzinduzi wa...
Back
Top Bottom