Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8.
Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh...
Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao wamekuwa wamiliki tangu Mwaka 2005.
Wote wawili kila mmoja kwa upande wake amejinasibu kuwa nia yao ni...
Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
Kwa siku chache mabilionea wawili wenye hela za kutupa na kumwaga wameuawa pamoja na familia zao, mmoja kafia Moscow, Urusi ndani pamoja na mkewe na watoto ila ikasemwa amejitoa uhai baada ya kuua familia yake, mwingine ameuawa Uhispania pia na familia yake.
Ikumbukwe hawa oligarchies ndio huwa...
Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers.
Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
Inaelezwa kila mtu anazaliwa tajiri lakini pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Wapo matajiri wengi duniani ambao hawakuzaliwa matajiri. Walitengeneza utajiri wao kwa kupitia maisha ya kawaida kabisa ambayo kila mtu...
Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu.
Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha.
Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi....
Ninaandika kwa huzuni kwa niaba ya mabilionea wenzangu kina Azam, GSM, Vunjabei, Platnumz, Shishibaby, Bill Nas, na wengine ambao hawapendi kutajwa kama Soggy Doggy Anter. Ni kuhusu vitendo vya kipuuzi vinavyofanywa na bilionea mwenzetu kwa jina la...
Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
Inaelezwa kila mtu anazaliwa tajiri lakini pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Wapo matajiri wengi duniani ambaohawakuzaliwa matajiri. Walitengeneza utajiri wao kwa kupitia maisha ya kawaida kabisa ambayo kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.