crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini.
Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake.
George Soros - Anatajwa kuwa billionea mtoaji zaidi akiwa kajitolea zaidi ya 60% ya utajiri wake (32 us dollar) katika masuala mbalimbali, yeye ni Atheist.
Warren Buffett, Bill Gates, Renald Arnault na Jeff Bezos wanatajwa kama Agnostic, neno linalotumika kwa watu wanaoamini kwamba asili ya mwanadamu haiwezi julikana. They are unreligious!