Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji.
Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu.
Hapa, Uganda tayari wanajizatiti kwa mazoezi mazito mazito kungali asubuhi:
Sijui makwetu jikoni au kule...
Hii ni katika maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali ya Ruto leo.
Katikati ya Nyomi hilo Kibra Nairobi, ni Raila Amolo Odinga (Baba) akiwa kazini. Kwa hakika hakuna mwingine kama yeye:
Nyuma ya shughuli ni goma zito kutokea Tanzania, "hakuna kama yeye." Kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio.
Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji...
Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi.
MUHURI imemkumbusha IG...
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa.
Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia
Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo. Vyombo vya habari vingi Vimenyamanza na Huwasikii kabisa Kuhusu hili tofauti na Yanapo tokea...
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua...
Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo mubashara.
Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa Citizen TV, NTV, K24, KBC, TV47...
Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali yakiratibiwa na kiongozi wa Azimio La Umoja Coalition, Raila Odinga.
CA imevitaja vituo hivyo kuwa ni Citizen...
Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao.
Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye...
Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1.
Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki.
Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na Alhamisi pia.
Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za...
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Wazungu ili Kenya inayoenda Kuneemeka na Rais Ruto isitawalike.
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa (anasaidiwa na Nchi moja jirani) yenye Vita ya chini chini ya Kiuchumi na Kenya ili Machafuko yakitokea yenyewe ifaidike...
Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko.
Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi.
Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI
Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi
Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
Polisi imekanusha kuwapa silaha Askari Jamii ili kusaidia kuzuia maandamano ya kuipinga Serikali ambayo tayari yameanza katika baadhi ya miji
Chama cha upinzani, Economic Freedom Fighters, (EFF) kilidai kwamba walinda doria wa Kitongoji cha Honeydew, katika Jimbo la Gauteng, walipewa sare za...
Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura.
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.
Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.
Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia.
Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali.
#Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.