DR Congo: Watu 8 wafariki katika maandamano ya kupinga uwepo wa walinda amani wa UN

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini.

Msafara wa UN ulishambuliwa wakati wakirejea kutoka Mji wa Goma ambapo mgari yao kadhaa yalichomwa moto na mengine kuporwa.

Watu 30 walifariki katika maandamano ya aina hiyo Julai 2023, ambapo kumekuwa na kampeni ya kupinga uwepo wa walinda amani hao, baadhi ya wazawa wakidai hawaoni umuhimu wao kutokana na kushindwa kutuliza machafuko Mashariki mwa DRC.
-----

Anti-UN protest death toll rises in DR Congo

The authorities in the Democratic Republic of Congo say the number of people killed during the latest protest against UN peacekeepers has risen to eight, with 28 others injured.

The military governor of North Kivu province said the peacekeepers fired in self-defence when protesters attacked their convoy as it was returning to the city of Goma on Tuesday evening.
Several UN trucks were set on fire and looted.

Over the last year, there have been several protests against the UN peacekeeping force which is widely criticised for failing to stop rebel attacks in eastern DR Congo.

Last July more than 30 people were killed during protests.


Source: BBC
 
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini...
Edit July 2023 bado hatujafika.

Safi sana wananchi wa Congo kwa kujitambua, hao UN ni wezi wa madini tu haiwezekani miaka nenda rudi wakashindwa kuleta amani.
 
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini...
Watu bwana, yaani hakuna hata picha ya marehemu tuwaone tujiridhishe?
 
Back
Top Bottom