Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Screenshot 2023-03-09 at 16-52-57 How Raila's Azimio plans to execute resistance against Ruto ...png

Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo.

Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwaajili ya kukagua Matokeo ya Kura za Urais ya mwaka 2022 pamoja na kushughulikia Gharama kubwaz maisha ikiwemo Mfumuko wa Bei.

Kwa mujibu wa Odinga, Mikusanyiko hiyo itahusisha kampeni za Ukaidi, Kususia, Migomo, Kutotii, Maombi, Vitisho na Maandamano ya Amani na itaendelea hadi Machi 20 ambapo hitimisho lake litafanyika Jijini Nairobi.

===============

Azimio la Umoja One Kenya Coalition leader Raila Odinga on Thursday declared the official start of countrywide mass action after the lapse of ultimatum issued to the Kenya Kwanza government.

Azimio has also launched the Movement for Defense of Democracy (MDD), an initiative that is against the current regime.

This follows Wednesday's lapse of the 14-day ultimatum the Azimio leader had issued to President William Ruto to expedite the opening of the 2022 presidential election servers and address the high cost of living.

"We have launched a campaign of defiance of peaceful picketing, peaceful protests, boycotts, strikes, disobedience, petitions, sit-ins and peaceful demonstrations. And it begins today and now," Mr Odinga said.

He also signalled a massive rally planned in Nairobi on March 20.

"After we have done what we have to do, wherever we are in every corner of the country, we shall finally converge in
Nairobi. Take note that on March 20, 2023, we have a date with destiny in Nairobi," he added.

The media event took place Thursday at Jaramogi Oginga Odinga Foundation in Upper Hill, Nairobi.

How Raila's Azimio plans to execute resistance against Ruto regime

Opposition leader Raila Odinga is today expected to launch a multi-faceted approach to his mass action plan against President William Ruto’s administration, including “civil disobedience”.

This follows yesterday’s lapse of the 14-day ultimatum the Azimio la Umoja One Kenya Coalition leader had issued to the President to expedite the opening of the 2022 presidential election servers and address the high cost of living.

In what was seen as a reaction to Mr Odinga’s threats, the government yesterday deployed security officers to areas around State House in Nairobi and Kisumu.

In Nairobi, at least two security officers were sent to guard roadblocks erected on several routes, including State House Road and the route between Kenya Comfort Suites and Ralph Bunche Road, while another team was stationed at State House Gate C, which is often unguarded, to control traffic.

In Kisumu, police cordoned off the road leading to the State Lodge. Jomo Kenyatta highway was also blocked from the wee hours yesterday, with motorists forced to use alternative routes.

Intricate plan

The Nation has established that Mr Odinga has drawn an intricate plan to advance his resistance to President Ruto’s administration.

The measures that are expected to pile pressure on the government include staging sit-ins or occupation of public offices, advancing the resistance in parliament using elected leaders and continuation of nationwide rallies dubbed people’s barazas.

Intricate plan

The Nation has established that Mr Odinga has drawn an intricate plan to advance his resistance to President Ruto’s administration.

The measures that are expected to pile pressure on the government include staging sit-ins or occupation of public offices, advancing the resistance in parliament using elected leaders and continuation of nationwide rallies dubbed people’s barazas.
 
Huwa tunadai nyuzi ziwe na picha hapa,we jamaa umeamua kuleta picha bila uzi. Watu wale mtori kwanza nyama watazikuta chini.
We jamaa umefanya nicheke ile mbaya hapa 😂😆😆😆😆😆😂 daaa!.
 
Mbona hizi fujo hajazifanya kwa Kenyatta, aseme tu anataka kuhujumu serikali ya Ruto akalee wajukuu aache kuvuruga mustakabali wa wakenya.
 
Hali ni tete sana Kenya. Utabiri wangu Mimi no kwamba haya mambo yatakwisha with no great loss of life. Ila nashindwa kutabiri nani atashinda.
 
Hapo anachotafuta ni meza ya maridhiano ili apate nafsi ya kujumuishwa kwenye serikali.

Kenye ni vigumu sana kwa chama kimoja kutawala pasipo kushirikiana na kingine
 
RAILA ANAKOSEA,DEMOKRASIA HAIWI HIVI. KAMA UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI, FUJO ZA NINI?
 
demokrasia ni ujinga, upumbavu na uwendawazimu.......
sasa huyu mzee alikua na support ya state organs kipindi chote kuelekea uchaguzi mpk kutangazwa kwa matokeo lakini akagaragazwa, eti leo analalamika kuibiwa kura!

gharama za maisha ruto angetatua vipi ndani ya miezi hii michache aliyokaa madarakani?

kwa jinsi hii, bora kabisa style ya ccm..... nchi gani watu wanaendekeza upuuzi namna hii
 
Back
Top Bottom