BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,379
- 8,123
Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo.
Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi kutawaliwa na Wakoloni wa Ufaransa, ikiifuatia #China ambayo imeanza kujihakikishia uungwaji mkono na Nchi nyingi za Afrika.
Makundi ya makubwa ya Vijana waliandamana wakiwa na Bendera za Urusi nje ya Ubalozi wa #Ufaransa huko Kinshasa ili kulaani ziara hiyo. Maandamano ya kuipinga Ufaransa yalizuka pia katika makoloni yake ya zamani ya #Mali na #BurkinaFaso.
==============
France’s President Emmanuel Macron began a tour of Central Africa on Wednesday in a diplomatic drive to test a new "responsible relationship" with the continent as anti-French sentiment runs high in some former colonies.
He landed in Gabon's capital Libreville on Wednesday and will later head to Angola, Congo-Brazzaville and the Democratic Republic of Congo.
Macron's trip comes as alarm grows in Paris over Russia's rising influence in French-speaking African countries; joining China, which has been present in the region for some years.
Burkina Faso, according to official correspondence seen by AFP on Wednesday, has told France it is renouncing a 1961 agreement that provided a legal basis for French military aid.
In a speech on France's Africa policy on Monday, Macron called for a "mutual and responsible relationship" with the continent of more than 50 countries, inclusive of climate issues.
He reiterated a pledge to break with former post-colonial policies.
THE EASTAFRICAN