Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.

Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya miaka 50

Kwa upande mwingine Israel inaonesha kujitosa kwa nguvu zote kuishambulia Palestina huku Marekani nayo ikiahidi kutoa msaada wa kijeshi
 
Kwa upande mwingine Israel inaonesha kujitosa kwa nguvu zote kuishambulia palestina huku Marekani nayo ikiahidi kutoa msaada wa kijeshi
Mwanakulitafuta,mwanakulipata!Maandamano ya nini tena!Si walianza wao,!Siku ya Sabato.
 
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.

Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya miaka 50

Kwa upande mwingine Israel inaonesha kujitosa kwa nguvu zote kuishambulia Palestina huku Marekani nayo ikiahidi kutoa msaada wa kijeshi
Ushahidi?
 
Walichekelea walipoanza sasa wanajibiwa mapigo wanakimbilia kuandamana
 
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.

Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya miaka 50

Kwa upande mwingine Israel inaonesha kujitosa kwa nguvu zote kuishambulia Palestina huku Marekani nayo ikiahidi kutoa msaada wa kijeshi
Hii tunaita mwana kulitafuta mwana kulipata
 
Back
Top Bottom