Kweli Tumetoka Mbali, Sio El Merrekh Wala Power Dynamo Waliopokelewa Airport kwa Maandamano

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,314
8,306
Kwa Umakini mkubwa nikasema nifuatilie tu nini Kinajiri pale Mwalimu Nyerere International Airport Wakati timu Pinzani kwa Simba na Yanga Wakati zinawasili. El Merrekh ya Sudani na Power Dynamo ya Zambia...! ni nini Kitatokea.?

Nilichoshuhudia ni Wanahabari tu Wa Vyombo binafsi na Media zile Rasmi Wakijitahidi kupata hili na Lile kwa ajili ya vyombo vyao na interviews chache tu, baaasi.

Ukweli Sikuona Maandamano Kama miaka Kadhaa nyuma Ya Mapokezi kama tulivyokuwa tumezoea..!

Wala sikuona yeyote Kavaa jezi ya El Merrekh au Ya Power Dynamo.

Nikajisemea moyoni ama Kweli hawa Mashabiki wa Yanga na Simba Wamebadilika, na hii ni indicator mojawapo kweli tumepiga hatua.

Tusijichukulie poa,ni kweli Ligi yetu ni namba 5 Afrika.

Kila la kheri Yanga,Simba na SBS.
 
Sema uto yamebadilika baada ya kitimu chao kuanza kuona mwezi! Ngoja yaboronge uone yakivaa jezi za timu pinzani na mnyama, yaani mpaka viongozi wayo wanavaa jezi za timu ya nje.
Dish lako limeyumba!
Mbumbumbu kweli hamtaisha!
Yanga ni giant , ni litimu kubwa sana now sio kitimu! Hebu angalia tu viwango vya Diarra, Nondo, Max, Yao, Bacca na Aucho, mchezaji Gani Simba anaweza japo kuwakaribia?

Yanga Inaogopwa Africa!
Kitimu for now ni Papatu Papatu fc mbumbumbu simba na Kesho mkishakandwa nitakusaka humu! Hakikisha umerudi kolowizard wahed!

Angalia mtani utakufa kwa presha, Yanga Iko next level , sas hivi timu tunazotakiwa kucheza nazo ni Real Madrid, Al Nasr, Bayern, Barcelona na PSG tukicheza na Simba viwanja vibovu kiwango chetu Yanga kinashuka!

Leo ni kukunja bukta ni Aziz Key Day!!
 
Ila lengo lenu ni kufikia hatua ya makundi CAF, kwa mujibu wa viongozi wenu
 
Ila lengo lenu ni kufikia hatua ya makundi CAF, kwa mujibu wa viongozi wenu
Mtani Ile danganya toto tu, Eng Hersi anachotaka ni kombe sio kushiriki! Ile ni staili ya kutuliza mashabiki tu maana Pira GAMONDI mashabiki mzuka umepanda sana ni burudani mwanzo mwisho hata Diarra kaambiwa na kocha nayeye awe anaenda mbele kufunga! Hii Yanga itawatesa na kuwapoteza timing Makolo wengi for many years!

Ufalme wa Simba kwenye ligi ya bongo wote kwishney! Power Dynamos wamesema wanaiogopa sana Yanga yenye wachezaji 13 wanaocheza vikosi vya kwanza timu zao za Taifa ( hapa nimemjumuisha Mayele maana bila Yanga asingekuwa mchezaji hatari)! Power Dynamos Wameahidi kuikanda Simba kwao na mi nadhani Kwa ubovu wa Simba hii watafaulu!
 
Back
Top Bottom