maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

    Na. M. M. Mwanakijiji Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mauaji baada ya Maandamano pia yamefyeka Omba-omba na wasio na makazi

    Yaan ilikua wewe ukionekana unakula Shaba ya kichwa, tumbo au mkoundouni. No discussion. RIP wote
  3. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

    Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maamuzi ya kuisimamisha nchi kwa hofu ya maandamano ni ishara ya udhaifu, si uongozi

    Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi yenye utulivu kama Tanzania. Lakini cha kushangaza mbinu zilezile zilizotumika mwishoni mwa Oktoba...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amos Makalla: Oktoba 29 hakukuwa na maandamano, kulikuwa na vurugu

    Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu. "Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  7. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Maandamano D9: resiliency pekee ndo itawatoa watawala

    Wakuu kuelekea D9 kuna angalizo muhimu hapa. Mafanikio yamejengwa kwenye msingi wa uendelevu na kushikilia bomba. Wanajeshi wala polisi hawatawazuia waandamanaji kwenda Ikulu. Wanajeshi wamejiapiza kuzuia vurugu tuu hivyo endapo waandamaji hawatosababisha vurugu basi mwendo wa Ikulu utakuwa...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa

    Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Tanzania intelligence inaruhusu maandamano ya raia, wakati ni jambo dogo TU likifanywa maandano yanayeyuka kama barafu!

    Kwani hao viongozi wa wahuni wapo wangapi Hadi Damu nyingi za watanzania ziendelee kumwagika!!? Viongozi wahuni wakuu hawafiki hata watano lakini namna ya kuwashinikiza inagaharimu uhai wa Tanzania maelfu kwanini!? Kwanini hao wachache msifanye jambo Moja TU na mioyo ya watz ipone na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali wangetakiwa kutoa njia maalumu za maandamano! Sio kushangaa shangaa tu

    Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea Maandamano ya D9: GenZ watoa waraka wa utaratibu wa kuundwa kwa Serikali ya mpito Tanzania

    PRESS RELEASE ‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️ Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽 👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 hivyo hadi sasa hakuna utawala wa serikali halali iliyowekwa na wananchi kwa...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wambura na Muliro, Tarehe 9 Dec ni Maandamano. Hili muwe nalo uhakika kabisa bila mashaka. Sasa mtachagua Mtuue kama mlivyotuua au tuwaondoe

    Mambo si mambooooo!! Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!. Toeni Pesa Bank. Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia. Waandamani tuonane Field !!
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baadhi ya wanachi waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea

    Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo. Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?

    Nimeona polisi wakikamata watu kwa kosa la kuhamasisha maandamano. Nimeona Waziri wa Mapolisi wakikemea maandamano. Watu hawa waieleze dunia maandamano ni kosa kwa sheria ipi? Halafu acheni kupotosha watu kwamba ni vurugu, hapana kinachopangwa kufanyika ni maandamano. Hizo vurugu mnazitoa wapi...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote Africa

    Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote africa. Lazima uchaguzi ufutwe , mateka waachiliwe, katiba mpya, wauwaji wafungwe minyororo kichwani miguuni na mikononi kila aliyehusika. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi!
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chombo pekee kinachopaswa kutamka maandamano tar 9 Dec ni halali/si halali ni Mahakama, Vyombo vya Ulinzi/Usalama kazi yenu ni usalama bila kupendelea

    Ninashangazwa na matamko ya baadhi ya viongozi wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhangaika kudhibiti Maandamano, Je, Hiyo ndiyo kazi yao kuamua kama maandamano ni sahihi au si sahihi? Serikali ambayo ndiyo inayolalamikiwa eti ndiyo inakuwa wa kwanza kupinga kulalamikiwa! Vyombo vya...
  18. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kijana: Viongozi ndio chanzo cha vijana kufanya maandamano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa serikali wanaokwamisha shughuli za vijana kuwa hawatavumiliwa. Akiwa wilayani Songea leo Ijumaa tarehe...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Uanzishwe mfuko wa kuchangia waathirika wa maandamano na wa vitendo vya kikatili vya dola la CCM na mfuko huo usimamiwe na UN

    Nafikiri ni wakati sahihi wa kuunda mfuko maalumu wa kuchangia waathirika wa maandamano ya Oktoba 29 na. wale wote waliiothirika na matukio yote ya kikatili yaliyofuata baada ya hapo. Lengo likiwa ni kuwashika mikono ndugu, jamaa na wanafamilia wa walipoteza wapendwa wao. Ukweli ni kwamba...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waandamanaji na Chama cha upinzani wana uwawa sio kwasababu ni wahaini au wamechoma vitu kwasababu walitaka Samia aondoke madarakani

    Waandamanaji na Chama cha upinzani wana uwawa sio kwasababu ni wahaini au wamechoma vitu kwasababu walitaka Samia aondoke madarakani. Lissu yupo gerezani kwasababu samia asisumbuliwe, watu wamepigwa risasi si kwasababu wamechoma vitu kwenye maandamano kwasababu wanataka samia aondoke madarakani...
Back
Top Bottom